Jeshi la Polisi na TCRA walipaswa kumuhoji Zitto Kabwe. Anamaanisha nini kwa kusema "The United Republic of Gangsters". Kuna Jamhuri anaikejeli

Zitto ni irrelevant akihojiwa atafanywe kuwa relevancy. Nadhani baki hapo alipo ili aendelee kutafuta attention.
 
Kiukwel naamin akikamatwa atakuwa na cha kusema.
Hawez kuandika bila kuwa na sababu hvyo kuhojiwa ni kawaida tu kwa nchi yetu.Ila naamin atatoa sababu za msingi za yeye kufanya hvyo.
 
Mkuu bado uzi wako unahisi una mashiko baada ya hii movie kuhitimishwa kwa mtindo wa kiganster?
 
hapo kosa kisheria linasimamia section ipi kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai? mlalamikaji ni nani? na tusi likowapi hapo?
acha unafiki ili uonekane mzuri kwa kujipendekeza
 
Kwenye hii mada hutopata mchango wa maana kutoka humu..ukipata saana ni matusi na kejeli.
 
Umewahi kusikia au kujua habari za "Nchi ya kusadikika, na uhusiano wake na soko la Bagamoyo?"
Mengine haya ni umalaya wa mdomo, sasa kwa nini usumbuke na umalaya wa mdomo?
 
Hivi haya yote yanayotokea; waandishi, wanasiasa wanaharakati na sasa wafanya biashara; kuteswa, kutekwa na au kupotezwa; bila vyombo vya usalama kuwa na clue yoyote na kubihevu kama wapiga ramli ni sawa kweli? Yaani amepotezwa Ben Saanane, ametekwa Azory na Kinguye, ameshamvuliwa TL; wameuwawa wengi Kibiti, wameokotwa wengi fukweni wakiwa kwenye viroba, halaf mtu kwa uchungu na hasira anaamua kuiita nchi hii URG, halafu bila aibu unamlaumu????
Huyu infantry soldier ni kikundi kile kile cha wahuni wanaosemwa na Zotto Kabwe.
 
IPI hio itaje Maana jamhuri ni nyingi, na lugha ni pana, ingekuwa rahisi wazee wa visasi wasingemwacha
 
Huyu jamaa nilisha sema kalewa sana na political status aliyo nayo. Ni mpumbavu tuu.
 
Bangi bangi hata sielewi unamaana gani kunywa maziwa upunguze sumu mwilini imekuathiri
 
Back
Top Bottom