Jeshi la Polisi lisishiriki kwenye mchezo mchafu wa kuwahadaa Watanzania, Mkurugenzi wa Yono akamatwe

Kwanza mkuu nikupongeze kwa kugundua uhuni huu wa aina yake unaofanyika..

Swali dogo tu la kujiuliza, iliwezekanaje mtu mmoja kununua nyumba,halafu anunue ya pili bila kusainishwa na kulipia kiasi cha pesa katika ile ya kwanza aliyonunua?

Inamaana kulikuwa kuna mpango wa kuziuza zote kwa mtu mmoja?

Huwezi kuwafanya watu wote wapumbavu kwa wakati mmoja.

Hili nililifikiria pia na mengineyo nikachokaaaa baada ya hayo ya 900 kusambazwa ndio nikaangalia kwa kuruka ruka kwenye kideo hicho.

Maana waliniboa mnada wa mwanzo.. hata wa pili sikutaka kujua umeendaje.. kuna vitu kwa watu wa kazi hiyo ambazo kwao mengi kuna mapungufu sana sana tu.
 
Kweli kabisa hata mimi nimetazama kutwa nzima ya leo hao wanaopandia bei anayosema huyu Dr magirini hawa onekani asee
 
Kweli kabisa hata mimi nimetazama kutwa nzima ya leo hao wanaopandia bei anayosema huyu Dr magirini hawa onekani asee
Hakuna tofauti na igizo la makonda kusaidiwa makontena 13 na wanadiaspora wa Marekani kusaidia walimu huku wakishindwa kusafirisha marehemu mmoja tu hadi anapigwa moto hukohuko Marekani.

Maigizo tunayamudu ila tumekosa madirector makini wa kuongoza hizi scene.
 
Back
Top Bottom