Kipindi cha Ben Saanane walishindwa wakasema ni TISS wakamaliza hivyo.Ni vyema jeshi la polisi likaachana sasa na propaganda zisizo na maana. Walitaka kumalizana na dereva wa Tundu Lissu wamewahiwa.
Nawasihi wautumie muda huu mfupi vizuri kuachana na ulaghai la sivyo watu wakitoka Nairobi jeshi hili tulilokosa nalo imani litaumbuka vibaya! Waache kujiumauma na watende haki. Wasiendelee kulimbikiza vinyongo ambavyo siku ikifika watu watavitapika waziwazi na hapo hakutakuwa tena na subira!
Mimi nawakumbusha tu kuwa bado muda wa kujisahihisha wanao kwa kuamua kuhusu hili sakata la Tundu Lissu!
Alicheza kama peleMbowe ni professional , aliusoma mchezo akaondoka na dereva .
ccm ni Janga kwa Tanzania
Chadema kila kitu kwenu siasa. Sasa issue ya Lissu ndiyo mmepata pa kuongelea. Mtaongea mpaka basiNi vyema jeshi la polisi likaachana sasa na propaganda zisizo na maana. Walitaka kumalizana na dereva wa Tundu Lissu wamewahiwa.
Nawasihi wautumie muda huu mfupi vizuri kuachana na ulaghai la sivyo watu wakitoka Nairobi jeshi hili tulilokosa nalo imani litaumbuka vibaya! Waache kujiumauma na watende haki. Wasiendelee kulimbikiza vinyongo ambavyo siku ikifika watu watavitapika waziwazi na hapo hakutakuwa tena na subira!
Mimi nawakumbusha tu kuwa bado muda wa kujisahihisha wanao kwa kuamua kuhusu hili sakata la Tundu Lissu!
Na hapo ndipo maccm wanapomchukia...Mbowe ni professional , aliusoma mchezo akaondoka na dereva .
Poleee sana ndugu mtaumbuka tuChadema kila kitu kwenu siasa. Sasa issue ya Lissu ndiyo mmepata pa kuongelea. Mtaongea mpaka basi
Mbowe ni professional , aliusoma mchezo akaondoka na dereva .
Mbeleko zitashonwaHapa nawaza tu,
Lissu akitaja yale majina mazito yanayolindwa