SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,860
Tz ushoga ni haramuRais wa wanasheria akamtetee shoga si ndio kazi zake kutetea wanyonge?kisheria kwani kuwa shoga ni kosa?mwenye ujuzi atuambie sharia inayombana delicious!
Shoga sio mnyongeRais wa wanasheria akamtetee shoga si ndio kazi zake kutetea wanyonge?kisheria kwani kuwa shoga ni kosa?mwenye ujuzi atuambie sharia inayombana delicious!
Mwenye video kura za maoni za rais, mkutano mkuu ccm, tumsikie makinda akiita aunt......Tena ni rafiki mkubwa wa kamanda wema sepetu na pale kwake ndio ilikuwa maskani ya mashoga km don wa kuwasapport mashoga wa Dar alipata utetezi toka kwa TL na chadema inakuwaje mtoto,swahiba,timu kamanda wema mnampotezea??au mpka apost yule mkimbizi mwanamke asiyekuwa na mume kule instagram ndio mtakimbilia polis au mpka azungumze mchungaji anayefundisha watu umbea kuliko kumjua yesu ndio mtaona kuwa kuna kiki ktk tukio la James delicious
DAB huu mwaka wake..Mana anapigwa kona zoteKamtaja hadi Makonda na Shaka wamechezea libolo fc pamoja ama kweli ccm mna vimelea
Mkuu umefunga kwa nguvu sana post yako. Yani umebamizaKumbe unajua CDM ndo chama kinachotetea watu....ni mwanzo mzuri ..
Lkn. Kwa kukusaidia CDM INATETEA WAPENDA HAKI NA DEMOCRASIA YA TAIFA LETU NA KWA MANUFAA YA TAIFA LETU;JE huyo uliemtaja ni amekamatwa kwa kosa lipi? hata hivi me najua kwa siku wanakamatwa wengi tu lakin sio wote wanatetewa na CDM sawa wee mbweha!