john agrey JF-Expert Member Jan 24, 2015 1,280 2,079 Aug 5, 2016 #2 Daaa huyo polisi hata kumjibu tu mwandishi wa habari hawezii sasa lissu je? Anyway nisijeitwa mchochezi
Daaa huyo polisi hata kumjibu tu mwandishi wa habari hawezii sasa lissu je? Anyway nisijeitwa mchochezi
Page 94 JF-Expert Member Oct 22, 2015 5,205 15,162 Aug 5, 2016 #3 Mhmh! Huyo Polisi ana undugu na Juliana Shonza. Wote Akili sawa.
mcubic JF-Expert Member Mar 3, 2011 10,306 6,514 Aug 5, 2016 #6 Dunia haina haki....kunya anye kuku akinya bata kahara
C chebicho Member Jul 28, 2016 44 58 Aug 5, 2016 #7 Sasa mbona wao wanatoa matusi na anawahoji nani????
josam JF-Expert Member Nov 22, 2011 2,241 1,031 Aug 5, 2016 #9 mcubic said: Dunia haina haki....kunya anye kuku akinya bata kahara Click to expand... Hapo ndipo lilipo TATIZO.......!!!!! Kwa nini huyu naye asitiwe ndani???
mcubic said: Dunia haina haki....kunya anye kuku akinya bata kahara Click to expand... Hapo ndipo lilipo TATIZO.......!!!!! Kwa nini huyu naye asitiwe ndani???
UncleBen JF-Expert Member Oct 27, 2014 9,598 11,993 Aug 5, 2016 #10 Aiseee hii nchi hii huyo anayeongea hapo ndio anamhoji Tundu Lisu ??? Kuongea yenyewe shida ndio itakua kumtriki Lisu ili ajichanganye wapate cha kupeleka mahakamani ?? Yeye mwenyewe mpuuzi tu
Aiseee hii nchi hii huyo anayeongea hapo ndio anamhoji Tundu Lisu ??? Kuongea yenyewe shida ndio itakua kumtriki Lisu ili ajichanganye wapate cha kupeleka mahakamani ?? Yeye mwenyewe mpuuzi tu