Jeshi la polisi ladai Tundu Lisu ni mpuuzi?

Mhmh! Huyo Polisi ana undugu na Juliana Shonza. Wote Akili sawa.
 
Aiseee hii nchi hii huyo anayeongea hapo ndio anamhoji Tundu Lisu ??? Kuongea yenyewe shida ndio itakua kumtriki Lisu ili ajichanganye wapate cha kupeleka mahakamani ?? Yeye mwenyewe mpuuzi tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom