Jeshi la Polisi kuwasaka ma 'admin' wa 'whatsapp'

Jeshi la Polisi kuwasaka ma 'admin' wa 'whatsapp'

Nadhani jeshi la polisi lijikite kufanya mambo muhimu kuliko kuhangaika kuwasaka wagonjwa wa akili.

Jeshi lina mambo mengi ya kufanya ukiachilia mbali kuanza kusaka maadimn.
 
Nadhani jeshi la polisi lijikite kufanya mambo muhimu kuliko kuhangaika kuwasaka wagonjwa wa akili.

Jeshi lina mambo mengi ya kufanya ukiachilia mbali kuanza kusaka maadimn.
Kwa hiyo hili sio jambo la muhimu hivi nyie vijana akili zenu zipo wapi nyie ndiyo tegemezi la taifa halafu mna mchango huu, nguvu kazi inateketea kwa ngono zembe magonjwa nk na hayo magroup ndiyo chachu na yanachochea ,halafu mnasema jeshi la polisi litafuta mambo mengine ya muhimu
 
Natambua sana uwepo wako humu kwa muda mrefu sasa. Hili ni suala la kimaadili ambalo wala halipaswi kutumika nguvu ya polisi. Hebu kaa ujiulize inakuingia akilini kuambiwa kwamba polisi wanaanza kusaka maadimn wa magroup ya ngono?

Kwa Tanzania nadhani polisi mmoja anahudumia watu zaidi ya 1000, leo polisi huyo anashindwa kufanya kazi yake muhimu kwa jamii eti anaenda kusaka mpuuzi mmoja ambaye maadili yake yako mashakani.

Kwanini hujalaumu malezi mabovu ya watoto kabla hujasema juu ya akili za hao vijana?

Kwangu mimi naona jeshi linawekeza nguvu kubwa kufanya kazi ambayo hawakutakiwa kufanya kwa zama hizi za teknolojia.
Kwa hiyo hili sio jambo la muhimu hivi nyie vijana akili zenu zipo wapi nyie ndiyo tegemezi la taifa halafu mna mchango huu, nguvu kazi inateketea kwa ngono zembe magonjwa nk na hayo magroup ndiyo chachu na yanachochea ,halafu mnasema jeshi la polisi litafuta mambo mengine ya muhimu
 
Mashoga hatuwawezi wako salama kabisaaa...wacha tu deal na malay.a kwanza

Nawaza kwa sauti nikitokea Ntwara
 
Kazi yao ilikuwa ni kuwapiga Chadema kwny mikutano na saiv wamekosa wakumpiga wametafuta kazi nyingine ya kutunyima raha. Hawa polisi kama ndo wanakula mshahara kwa kazi za kijinga namna hii kweli kodi zetu zinapotea bure.
Polisi mtafuteni saanane na Azory.
 
Back
Top Bottom