Jeshi la Polisi kuwasaka ma 'admin' wa 'whatsapp'

Jeshi la Polisi kuwasaka ma 'admin' wa 'whatsapp'

Kwann wametangaza sasa......

Hivi ukiwa unataka kumkamata mhalifu/wahalifu, unawatangazia kabisa ili wajiandae kujificha au lengo la hili tangazo ni kupiga beat?!

Mbinu za kiboya sana za kupambana na uhalifu.....
Naona taarifa inafaa pengine wengine hawana elimu juu ya wayafanyayo..unataka kutegeneza story nyingine baada ya watu kukamatwa kiolela sio??
 
Wakiwakamata waonyeshwe kwenye vyombo vya habari ili watu waogope kufanya vitendo hivyo vya kupotosha maadili,yani akikamatwa tu kwenye tv tunata tuwajue wengine ni watoto wetu na hatujui wanafanya viendo hivyo maana huwa wanaonyesha makalio tu
 
Angalau Wameamua kuchukua hatua maana Hali inatisha.
 
Polisi wetu wanapewa majukumu mengine hayana Tija..

Wakati wa kina Saidi Lugumi wanatembea kifua mbele,shughulikieni haya mafisadi achaneni na issues za Kipumbavu.
 
Si demokrasia hio ? Tumepewa technology na wazungu kutumia mitandao na lazima tuwaihe wao kwao kuweka picha uchi ni kawaida sana na si maendeleo tunataka pia kuiga wazungu wanavaa nguo mpya ila zimechanwa maksudi na wanawawke kuwa wako karne 21 lazima waige huko ndio dunia kuelekea huko kwa kasi sana watazuia watashindwa maana u tube ni mali ya wazungu
Are you sane?
 
Hiyo kazi ya kukamata malaya iliwashinda akina Nyerere,Museveni,Kagame. Hakuna anayeweza kuwashinda Malaya ujanja,wakamataji wenyewe wanapewaga K na hao Malaya.
 
Naunga mkono hoja wakamatwe tu ndio vyanzo vya kuenea kwa Ukimwi maana kuna vijana wengine wadhaifu sana kwa wanawake wa mitandaoni....wakishaona profile pic ya shombeshombe wanadata na wakitoa buku 10 wanakula dry hivyo hivyo.
 
Haya naona wameamka ya mungu mengi mara paaah!!!! Kukutana na viongozi wazito kwenye magroup wakitizama u umber rutty
 
Mi kwa ushauri wangu,polis wajikite kufanya ishu za usalama wa raia,haya sidhani kama ni vipaumbele,
kufuatilia mambo ya mtandaoni,yanayofanywa na malaki ya watu is a waste of time and resource
 
Back
Top Bottom