Jeshi la Polisi kuwasaka ma 'admin' wa 'whatsapp'

Jeshi la Polisi kuwasaka ma 'admin' wa 'whatsapp'

Hapo asilimia kubwa wameisha ondoa picha
Yaani unamtahadharisha mhalifu duu hii kali
Haina tofauti na ile ya makonda na madawa ya kulevya, mtu anakupa taarifa ili aje kuku search.
 
Kazi ya Polisi siyo kukamata kamata tu, hata kuzuia uhalifu usifanyike ni kazi yao pia. Ndiyo maana wametangaza kuwa wameanza kuwakamata ili wale watakao sikia na kuacha waache, lakini wale wakaidi watakaoendelea ndiyo wakamatwe.
Alitakiwa azuie bila kutishia kukamata

Angesema labda kuwa jamani tunapiga marufuku biashara ya ngono na adhabu ya kosa hili ni hivi moja mbili tatu

Ila sio unaanza kukamata huku unamwambia huyu mfanya biashara kuwa sasa naanza kuwakamata hii sio mbinu nzuri ya kuwanasa Bali ni makamasi tu
 
HII MBONA IMECHELEWA IVI?????

SAFIIIIII SANAAAAAAA YAAN POLISI ALOKUJA NA HILI WAZOO NIKMA VILE AMEISOMA AKILI YANG

SAFIIIII SANA JESHI LA POLISIIIII ,,,,, wapuuzi wachache walitaka kutuharibia Taifa kimaadili ,, watoto wanaharabika mapemaa, Ngono zembe, high rate of HIV


POLISI NAWAUNGA MKONO 100%.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]( nakoswa hata namna ya kuelezea furaha yangu juu ya hii kitu).

Kamaten sanaa, wakamate, jengen Central zakutosha ,ikiwezekana sheria itungwe ya adhabu ya miezi mitatu mpaka sita na viboko 12
 
Mtandao mmja wa ngono nje kuna maclips kibao ya ngono toka bongo
Mpaka namba zao wameweka wanakwambia kujiunga group la whatsap ni 5000/cha ajabu wakipigiwa hawapokei
Kweli hao Inabidi washugulikiwe aise

Ova
 
Huku ni kutafuta sifa kunakoharibu kazi. Walitakiwa wawakamate kwanza kisha ndio watangaze. Tena wakamate na members wao
 
kuna watu hawajui kutongoza na hao madada poa wanawasaidia kupunguza nyg zao ni bora hii biashara iendelee tena kama ikibidi wawekewe regulations kuliko wajinga kuendelea kubaka watoto wadogo na wanyama.
 
Back
Top Bottom