OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
Kwani wewe ulimuandika vibaya??huyu mchungaji mlevi hadi kufika march mwakani atakufa kwa njaa Kwa kukosa sadaka au nusu ya waumini wake watamkimbia
huu ni utabiri wangu kwake,hiyo mikwala yake akawatishe watoto wake na misukule(waumini)wake yeye nani mpaka awatabirie kifo waandishi?