wana CCM wenye mawazo kama yako mtapata ugonjwa wa moyo na msongo wa mawazo chama chenu kitakapo ondolewa madarakani,ambayo itakua tiketi ya kifo cha CCM. wengi wa wanachama na viongozi watakimbia,na wataikana CCM mchana kweupe!CCM haiwezi kuporomoka kamwe. Ni chama pekee hapa Tanzania chenye resources za kutosha kuanzia human as well as capital/financial.
CCM ina watu makini na ambao hawayumbishwi ovyo. Ndio maana umeona mpakaa maamuzi yoyote yachukuliwe, ni lazima tafakuri ya kina ya jambo husika ifanywe.
CCM kamwe haiwezi kuporomoka wa kelele za wapinzani, CCM cha kuiangusha labda kuwepo conflict within the part. So far ndani ya CCM hali ni shwari.
Hilo haliwezi tokea kamwe. Mlisema Nyerere akifa CCM nayo inakufa, but mpaka sasa inadunda. Poor you!wana CCM wenye mawazo kama yako mtapata ugonjwa wa moyo na msongo wa mawazo chama chenu kitakapo ondolewa madarakani,ambayo itakua tiketi ya kifo cha CCM. wengi wa wanachama na viongozi watakimbia,na wataikana CCM mchana kweupe!
CCM haiwezi kuporomoka kamwe. Ni chama pekee hapa Tanzania chenye resources za kutosha kuanzia human as well as capital/financial.
CCM ina watu makini na ambao hawayumbishwi ovyo. Ndio maana umeona mpakaa maamuzi yoyote yachukuliwe, ni lazima tafakuri ya kina ya jambo husika ifanywe.
CCM kamwe haiwezi kuporomoka wa kelele za wapinzani, CCM cha kuiangusha labda kuwepo conflict within the part. So far ndani ya CCM hali ni shwari.
Wenye akili tunajua kwamba Mwalimu Nyerere alikufa na kuzikwa na CCM yake!Hilo haliwezi tokea kamwe. Mlisema Nyerere akifa CCM nayo inakufa, but mpaka sasa inadunda. Poor you!
Kauli ya Slaa ni sawa na kama jeshi la polisi au serikali linatishwa kwa kuambiwa ukweli basi wawe kunguru tu mambingwa wa kuogopa duniani
SIAMINI JESHI LINASHINDWA KUKAMATA MAJAMBAZI NA MAFISADI LAKINI LINAMKAMATA ALIYEWAKUMBUSHA MAJUKUMU YAO
CCM kamwe haiwezi kuporomoka wa kelele za wapinzani, CCM cha kuiangusha labda kuwepo conflict within the part. So far ndani ya CCM hali ni shwari.
orodha ya taasisi zinazohatarisha usalama wa taifa(list of demons)
1.ccm
2.polisi
3."usalama wa taifa"
4. Pccb
5.mahakama
6.jwtz
7.tbc
kaka kama uko na habari za huyu jamaa ambazo zinaweza tusaidia kumuandika kwenye gazeti tusaidie ili tuziweke kwenye gazeti watanzania wakapate kusoma taarifa za huyi kamanda ili watu wajue ni mchafu na fisadiBarlow nimevumilia sana kwakuwa hutendi haki ngoja mtandao wa kijamii ukuvue nguo!!! Wana JF RPC Mwanza anamiliki MIMBA mzumbe university MBEYA campus kwa WP jina kapuni LLB2.
Kama anachochea uvunjifu wa amani akamatwe na aswekwe ndani tu, asituletee siasa zake za uvunjifu wa amani, inaonesha ile ya Arusha x 2 bado hajapata adabu.