Jeshi la Polisi Dar kuandamana Leo...

Jeshi la Polisi Dar kuandamana Leo...

Askari wa Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar Es salaam leo hii watafanya maandamano makubwa na ya kihistoria kupinga Unyanyasaji wa Kijinsia kwa watoto nchini

Source: Magazeti RFA.

My take.
Walitakiwa waanze kwa kuandamana kupinga mauaji ya raia wasio na hatia.

Kama wanawajali raia sana ningetegemea waandamane pia japo siku nyingineyo kupinga ukamdamizaji wa polisi wa haki za raia kwa kuwabambikia kesi na extra judicial killings aka "Daudi Mwangosilisation" of innocent civilians!!
 
Askari wa Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar Es salaam leo hii watafanya maandamano makubwa na ya kihistoria kupinga Unyanyasaji wa Kijinsia kwa watoto nchini

Source: Magazeti RFA.

My take.
Walitakiwa waanze kwa kuandamana kupinga mauaji ya raia wasio na hatia.

Sasa kama baba na mama wanaandamana kupinga hilo wanamtangazia nani. Wanyanyasaji wa kijinsia ni wao wenyewe mbona wanawabaka sana watuhumiwa wa kike??? Acheni kejeli zenu. Nyie kuandamana maana yake mmeshindwa kazi.
 
wakwende zao waandamane Chagonja na mkewe wakamatwe kwa kulitia aibu jeshi la polisi
 
Back
Top Bottom