Kwahiyo kuandamana ndiyo njia ya kuelimisha?midhali siwapendi basi ntawapinga kila wanalolifanya, wala siulizi nikifika tu nauliza nani? kafanya hili nikijibiwa ni polisi basi ntampinga hapohapo, polisi wanafanya maandamano ya kupinga unyanyasaji wa watoto kijinsia, unapinga nini? nini wao ndiyo wenye data za kila aina ya uhalifu , kupungua au kuongezeka . na aina hii ya uhalifu unatokea zaidi ndani ya jamii .haizuiliki kwa askari kufanya doria ni sisi wenyewe raia ,tuone na tujitolee kutoa taarifa polisi/ ustawi wa jamii. unyanyasaji huu ukiachwa ,unazaa aina nyingine ya uhalifu ambao utafanywa na hao watoto walionyanyaswa pindi wanapokuwa wakubwa.vitendo vya ukabaji, ukahaba, ujambazi, madawa ya kulevya na nk. hivyo ni jukumu la polisi kuelimisha umma na umma unatakiwa kupokea kwa dhati sio kejeli na kutoa mawazo ya kufurahisha genge, jamii ni yetu sote tu ,waathirika.
Watapitia njia gani niende kutega mabom?
Nimependa sana swali lako....Police si RAIA.........nani atarusha kitu chenye ncha kali kutoka upande wa waandamanaji?Maandamano? Matembezi? Wanapinga nini kwani wao ni raia?
ahsante mkuu, pasinashaka yoyote kuandamana ni moja ya njia ya kuelimisha umma, dunia nzima watu hutumia njia hii kutoa ujumbe ambao ndiyo elimu yenyewe kwa wahusika. naam juhudi kubwa inafanywa na vikundi mbalimbali kutoa elimu na ufuatiliaji wa kina kuhakikisha jamii inafahamu na kuliondoa tatizo hili,lkn bado yawezekana polisi nao wameona iko haja na wao kwa kushirikiana na wananchi waandamane nao ktk kutoa elimu. umeona sasa hata wewe ,umechangia kwa kutoa changamoto za kesi zimalizike upelelezi kwa wakati, sasa hapo hata jamii inabidi ielimishwe kukubali kutoa ushahidi na wasichoke na ile khali ya nenda rudi ya mahakama. unajua kama mtu hausiano na muasirika zaidi ya ujirani ,hakawii kukata tamaa. na huona ni usumbufu kesi inapofutwa kwa mashahidi kutotokea lawama zote huangukia polisi'Kwahiyo kuandamana ndiyo njia ya kuelimisha?
Mbona waelimishaji rika ni wengi sana, na NGO kwa eneo hilo(Jinsia na watoto) ni nyingi sana?
Zawadi kubwa ambayo wangetoa kwa wananchi ni kumaliza upelelezi wa kesi za unyanyasaji katika muda fulani(time frame)
Kitendo cha kuandamana watapoteza useful time ya kazi, ambapo impact yake ni zero!
Maandamano? Matembezi? Wanapinga nini kwani wao ni raia?
Du!sio matakwa yao kufanya maandamano hayo. kwa sababu jeshi huongozwa kwa utii, hawana budi kufanya hayo maandamano kwa matakwa ya bosi wao.
jamani hebu changieni point za msingi, kwani huo unyanyasaji wanafanyiwa watoto wao? police ni kwa manufaa ya umma kumbukeni hao mnaowatusi na kuwakejeli kama sio baba zenu ni mama zenu au ndugu zenu wa karibu. changieni kwa manufaa ya umma.
jamani hebu changieni point za msingi, kwani huo unyanyasaji wanafanyiwa watoto wao? police ni kwa manufaa ya umma kumbukeni hao mnaowatusi na kuwakejeli kama sio baba zenu ni mama zenu au ndugu zenu wa karibu. changieni kwa manufaa ya umma.