Jeshi la Magereza: Taarifa inayosambaa kuwa ni ujumbe wa Lissu kutoka gerezani si sahihi, inapotosha umma

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
TAARIFA KWA UMMA

Jeshi la Magereza Tanzania linapenda kuujulisha umma kuwa, zipo taratibu za mawasiliano kwa wale wote waliopo gerezani kwa mujibu wa sheria ambazo hupaswa kusimamiwa na kuthibitishwa iwapo maudhui ya mawasiliano hayo hayakiuki taratibu zilizopo wala kuathiri suala zima la usalama kabla ya kutoka au kuingia gerezani.

Hivyo, taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ni ujumbe wa Ndugu Tundu Antipasi Lisu ikidai kwamba ujumbe huo umetoka gerezani sio sahihi bali ni yenye kupotosha umma. Jeshi linawasisitiza wananchi kuacha kutoa taarifa za Jeshi au wale wanaohifadhiwa gerezani zenye mwelekeo wa kupotosha umma.

Pia Soma: Mjumbe maalum wa Tundu Lissu katika msiba wa mzee Mtei

1769364531790.png
 
TAARIFA KWA UMMA

Jeshi la Magereza Tanzania linapenda kuujulisha umma kuwa, zipo taratibu za mawasiliano kwa wale wote waliopo gerezani kwa mujibu wa sheria ambazo hupaswa kusimamiwa na kuthibitishwa iwapo maudhui ya mawasiliano hayo hayakiuki taratibu zilizopo wala kuathiri suala zima la usalama kabla ya kutoka au kuingia gerezani.

Hivyo, taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ni ujumbe wa Ndugu Tundu Antipasi Lisu ikidai kwamba ujumbe huo umetoka gerezani sio sahihi bali ni yenye kupotosha umma. Jeshi linawasisitiza wananchi kuacha kutoa taarifa za Jeshi au wale wanaohifadhiwa gerezani zenye mwelekeo wa kupotosha umma.

View attachment 3534398
Screenshot_20260120-224356~2.png
 
Ujinga wa magereza huu
 
Nyie watu (magereza na Samia wenu muuaji) washenzi kweli...

Mmeona nini kwani kiasi cha kuja na hii Press Release..?

Kwamba ujumbe huo umesababisha damage kwa Samia na serikali yake haramu na hivyo mmetoa tamko hili kufanya damage control...?

After all, nani anajali hili? Kwamba CHADEMA wanaweza kujiandikia ujumbe na kujifanya umetoka kwa Mwenyekiti wao wakati sio na bado wakaweka hiyo kitu public?

Kwa nilivyousoma ule ujumbe, hiyo ni chapa ya Tundu Lissu mwenyewe, hakuna ubishi...

Umetokaje gerezani na kufika huku nje, it's not our business. Sisi tunachojua ujumbe umetoka kwa Mwenyekiti wetu mpendwa!!

Jueni tu kuwa, hata ndani ya magereza wapo wafuasi maelfu kwa malaki wa CHADEMA na wanaompenda kwelikweli Tundu Lissu...

Akili kumkichwa...
 
Nilisema toka juzi, msitegemee ujumbe wa Lissu kusomwa pale msibani. Sina uhakika kama ulisomwa zaidi ya kusambazwa mitandaoni na hata huo wa mitandaoni wanataka uonekane ni feki.

Hao magereza wanaijua "Letter from Birmingham Jail" ya Martin Luther King, Jr.? Wanazijua barua za Mandela alizoandika akiwa jela kwa miaka 27?
 
TAARIFA KWA UMMA

Jeshi la Magereza Tanzania linapenda kuujulisha umma kuwa, zipo taratibu za mawasiliano kwa wale wote waliopo gerezani kwa mujibu wa sheria ambazo hupaswa kusimamiwa na kuthibitishwa iwapo maudhui ya mawasiliano hayo hayakiuki taratibu zilizopo wala kuathiri suala zima la usalama kabla ya kutoka au kuingia gerezani.

Hivyo, taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ni ujumbe wa Ndugu Tundu Antipasi Lisu ikidai kwamba ujumbe huo umetoka gerezani sio sahihi bali ni yenye kupotosha umma. Jeshi linawasisitiza wananchi kuacha kutoa taarifa za Jeshi au wale wanaohifadhiwa gerezani zenye mwelekeo wa kupotosha umma.

View attachment 3534398
Sawa haujatoka gerezani then what.
 
Brainless woman! Badala ya kusema huo ujumbe sio wa Lissu, afadhali angesema huo ujumbe haukupitia channel rasmi ya Magereza.

Kama Prison wangekuwa na uwezo wa kujua kila kitu kinachoingia na kutoka, hata kitabu cha Nelson Mandela huko South Africa—Long Walk to Freedom—huenda kisingechapishwa!
 
Ujumbe unasomwa ndipo hutolewa nje kama maudhui yake yanaendena na maelekezo ya mjerumani
Njoo na ID yako ile nyingine usijifiche kwenye hii..

Ujumbe tumeupokea , na kwakua aliyeutoa mmemficha kiharamu ujumbe utabakia jinsi ulivyo.

Hao vidampa wa magerezaCCM hawawezi kutuamulia kipi tusikilize kipi tuache wakati Lissu wamemshikilia kiharamu.
 
Back
Top Bottom