mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 812
- 397
wadau kuna tetesi kuwa nafasi za Proffesional kwa jwtz zimetoka je kuna ukweli wowote?! Msaada tafadhali
wadau kuna tetesi kuwa nafasi za Proffesional kwa jwtz zimetoka je kuna ukweli wowote?! Msaada tafadhali
Ngoja kuna kanali flani yeye yuko kwenye ile kamati ya kurecruit graduates pale kunduchi nimuulize then nitakuja hapa tena
kumbe wewe M.I!?
Ni kweli! Na kuna chuo cha jeshi kinachotoa mafunzo kwa non-military officaers wa jeshi ambao kazi yao kubwa ni kuota huduma za ziada katika jeshi ikiwemo strategists, anthropologists na sociologists na nyinginezo. Changamkia!wadau kuna tetesi kuwa nafasi za Proffesional kwa jwtz zimetoka je kuna ukweli wowote?! Msaada tafadhali
kumbe wewe M.I!?
Yeah,n kweli zimetoka na wanaotakiwa ni FORM SIX LEAVER [PCM,PGM,PCB>bam uwe umefaulu] ,DIPLOMA ,na DIGRII!.,kwenda kuxomea URUBANI WA NDEGE ZA KIVITA!..for mor info:"[updated-boy]
acha dharau ma------ yako pimbi wewe hiyo kazi yenye heshima yake kote duniani hata marais wa us na jk wamepitia hukokazi nisizozipenda ya kwanza ni jeshi wengine wanazitamani umu