Bakita
Senior Member
- Sep 16, 2013
- 103
- 29
Once watu/kikundi cha watu kinapoviolet sheria zilizowekwa kihalali,dawa yao ni hii tu..
Wacha upumbav huo
Once watu/kikundi cha watu kinapoviolet sheria zilizowekwa kihalali,dawa yao ni hii tu..
Wacha upumbav huo
Kwa hiyo wewe hapa ndipo umetumia busara kwa kiwango cha juu kabisa?
Nimeiga busara yako mkuu, ikiwa hio nidawa kwa unaosema wanaovunja sheria Kua wauwawe bila ya vigezo kufatwa bas na hii ni busara kwa Yule anaetoa mchango bila yakufikiria Kua ndan ya ukumbi Kama huu kunahitajika busara hata ya kuchangaia mada.
Kwa hiyo mtu yeyote akitumia dini kufanya mambo yasiyokuwa ya kiungwana tumpe tu sympathy kwa kuwa harakati zake hizo kazianzia kwenye nyumba ya ibada?