Kwani huyo Mungu ni dhaifu mpaka ahitaji watu wampiganie? Hapo ndipo dini naikataa- atheist
Hiyari yako na kilichokusudiwa ni kwa wale wanaoamini. Iko siku utaikubali dini lakini itakuwa umechelewa.
Kwani huyo Mungu ni dhaifu mpaka ahitaji watu wampiganie? Hapo ndipo dini naikataa- atheist
waislamu wanataka nini? Mombasa republic? Hizi dini tulizoletewa na waarabu, wazungu!
Wewe hujasoma taarifa kwamba walikutwa na bunduki 18?
Umefurahi eeh!!!Hata hivyo na wao walifanikiwa kumjeruhi mwanajeshi mmoja.
![]()
Kaka acha akili za chooni dini ya khaki lazima wengi muichukie ila ukweli wao ndo waislam wakweli
Mungu sio kilema hadi apiganiwe kwa bunduki na mabomu,anaweza akaiteketeza dunia kwa sekunde,wampiganiae wanajisumbua wautumie muda wao kuomba rehema na wamwabudu,mtume anasikitishwa sana na mauaji ya akina mama na watoto wasiyo na hatia.
....zipi mkuu,kwamba wapigwe tu,maana tumechoka sasa...
Nahisi ungetumia busara ya kujijibu swali hilo. Kwani walikuwa wapi si msikitini au makao ya chama cha siasa?
Hiyari yako na kilichokusudiwa ni kwa wale wanaoamini. Iko siku utaikubali dini lakini itakuwa umechelewa.
Watu wanaweza kutumia misikiti, makanisa kama kichaka cha kudai wanayoyataka. haishangazi kuwa walikuwa msikitini!
Kama Mungu yupo atanikubali sana maana nahoji mambo ambayo hayana scientific proof! Sio vibaya kuhoji ndio maana (kama Mungu yupo) amekupa akili! Kudadisi mambo jamani ni kubaya?
Naam kama mlivyo wazuri wa kubuni mradi tu mpate sababu ya kufanya maovu ya mioyo yenu. Najua kwa uhakika hiyo statement yako mwenyewe huuiamini kwa hili. Lakini maadam waliodhuriwa ni "wale" haijaalishi rohoni mwako mlimopigwa muhuri wa chuki dhidi ya 'wale'
Kama Mungu yupo atanikubali sana maana nahoji mambo ambayo hayana scientific proof! Sio vibaya kuhoji ndio maana (kama Mungu yupo) amekupa akili! Kudadisi mambo jamani ni kubaya?
Chuki dhidi ya "wale" wala haipo, mimi naamini ubinadamu na si udini. Mwanadamu mwenzangu ni wa muhimu zaidi kuliko mwanadini mwenzangu! Naamini hivyo! Kwangu mimi Mungu ni wa pili baada ya mwanadamu mwenzangu. hata kwenye biblia imeandikwa kuwa " Acheni unafiki, utanipendaje mimi usiyeniona na kumchukia jirani yako unayemuona. hata Huyo Mungu anatambua nguvu ya ubinadamu wangu kwa binadamu mwenzangu!
Ungekuwa mgeni na polisi nisingeshangaa!