jesh jesh jesh jesh

Rjohn

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
613
128
nimepata habari kuwa na wale waliohitimu vyuo vya ualimu mwaka huu 2013
watafuata kwenda kambini(jeshini) baada ya hawa form 6,
JE KUNA UKWELI KATIKA HILO?
 
nimepata habari kuwa na wale waliohitimu vyuo vya ualimu mwaka huu 2013
watafuata kwenda kambini(jeshini) baada ya hawa form 6,
JE KUNA UKWELI KATIKA HILO?

jesh jesh jesh..!
wewe ndiye uliyehitimu mafunzo ya ualimu au unauliza kwa niaba ya mtu mwingine?
kama ni wewe,utatufelishia vijana wetu.
 
Back
Top Bottom