Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,317
- 18,495
Wakuu!
Mtoto wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Jesca Magufuli anatajwa kuwa ni Miongoni mwa wanaotaka kugombea Ubunge kwenye Jimbo la Chato, Geita.