PreGE2025 Jesca Magufuli kugombea Ubunge jimbo la Chato?

PreGE2025 Jesca Magufuli kugombea Ubunge jimbo la Chato?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni ujinga kuamini kila mtoto wa mtawala nchi hii anastahili kututawala.

Huko chato hakuna watu wengine zaidi ya familua ya Magufuli, mnaanza uchawa mkiwa wadogo sana.

Nchi hii siuo ya kufalme acheni ujinga.
ZAnzibar bdio wanaujinga huo, Tanganyika watu milioni 60 hatuhitaji ufalme.
 
Wakuu!

Mtoto wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Jesca Magufuli anatajwa kuwa ni Miongoni mwa wanaotaka kugombea Ubunge kwenye Jimbo la Chato, Geita.

Hii habari ni ya uongo. Hakuna Jimbo la Chato bali katika Wilaya ya Chato kuna Majimbo y Uchaguzi ya;
  • Chato Kaskazini
  • Chato Kusini
  • Katoro
  • Busanda
Sasa ebu, twambie, ingawa ni jambo jema sana kwa Jesca Magufuli kuwa na Nia ya kugombea, anagombea Jimbo gani hapo?
 
Anaweza kuchaguliwa viti maalum sio lazima aanze na jombo
 
Pamoja na yote bado he was worst minister to hold such position,

kalemani alikuwa anampango wa Kuua Shirika ndio mana after his tenure Palikuwa na Long black out tena ziko very persisted Chanzo ni yeye
Sasa sisi raia wa kawaida tukiona kiongozi anatoa kauli za kutusaidia, lazima tumpende!

Labda niulize, angeliuaje shirika la umma linalobebwa na ruzuku za Serikali?

Kuna mwaka Tanesco iliwahi kusimama yenyewe kutokana na vyanzo vyake vya biashara ya faida, ni mwaka gani huo, baada ya kuondolewa yeye?

Mbona alipofukuzwa kwenye hiyo nafasi waliopachikwa badala yake ndiyo waliokuja kutulaza gizani kwa muda mrefu sana kwa visingizio visivyoweza kujaa hata kwenye kiganja cha mtoto mchanga?

Naitafuta sana point kwenye hoja yako ili inisaidie nami niingie kwenye mstari wa kusifu na kuabudu, lakini siioni.
 
Sasa hapo kuna cha kushangaa wakati mliona mahojiano yake na milado a, yaani jamani kama kusoma mlishindwa hata picha ya mnato mshindwe kutafsiri, mbona hili lilijulikana kitambo na juzi tu jimbo likagawanywa, the way forward amepita bila kupingwa.

Millard Ayo na Jesca Magufuli wanafanana sura kiasi fulani.
 
Analeta hoja gani mezani yenye maslahi mapana kwa taifa?

Kubwebwa na jina la Magu siyo hoja.

Je, ana uwezo wa kuwawakilisha wananchi kisawasawa?

Anaweza kujisimamia yeye binafsi au mpaka aamuliwe jambo ndipo yeye aanze kulipigia upatu?

Je, ni mzalendo makini (active patriot) au mzaamiendo (fauxductivist)?
Kwani Wanu Hafidh Ameir ana hoja gani zaidi ya kubebwa na jina?
 
Pamoja na yote bado he was worst minister to hold such position,

kalemani alikuwa anampango wa Kuua Shirika ndio mana after his tenure Palikuwa na Long black out tena ziko very persisted Chanzo ni yeye
Jimbo lishakawanywa. Atagombea upande mwingine.
 
Tanform magodoro bora alitumia babu mpaka wajukuu
Ndiyo hii sasa nchi imekuwa mali ya wachache ambao wapo kwenye channel (system) tu 🤣🤣🤣
Nyie kenge wa ndani nendeni mkajiajiri au muende veta mwisho wa kunukuu 😂😂😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom