4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,605
- 13,531
Nimekuelewa mkuuUpo Tz hii ya ccm? Utakua mgeni kutoka mashariki ya mbali
Huyo wala hapambani, anaandaliwa tu nafasi ya kuwekwa Kama ilivyokua kwa kina riziwani, wanu na wengine. Mnaopambana ni nyie maskini
Kwakuwa mnasema lissu ndo anachukua nchi 2025, bila shaka atayafuta. Au?!!!Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene
Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo ulimuandaa awe mbadala wa Dk Kalemani,ghafla Jesca naye akaibuka analitaka jimbo,
Tume imeanzisha jimbo jipya la Katoro ambalo litachukua sehemu ya Busanda na Chato
Ukiacha hapo kuna jimbo jipya la Chato Kusini
Ndio kusema mkoawaGeita umepatiwa majimbo mapya mawili,kazi kwake Jesca
Huko kote jina la Magufuli linapendwa na kukubalika ni kama nyumbani.
Popote Jesca atakapochukua fomu hana mpinzani
CCM ina wenyewe
NdioKwakuwa mnasema lissu ndo anachukua nchi 2025, bila shaka atayafuta. Au?!!!
Watajua wenyewe no reforms no electionKuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene
Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo ulimuandaa awe mbadala wa Dk Kalemani,ghafla Jesca naye akaibuka analitaka jimbo,
Tume imeanzisha jimbo jipya la Katoro ambalo litachukua sehemu ya Busanda na Chato
Ukiacha hapo kuna jimbo jipya la Chato Kusini
Ndio kusema mkoawaGeita umepatiwa majimbo mapya mawili,kazi kwake Jesca
Huko kote jina la Magufuli linapendwa na kukubalika ni kama nyumbani.
Popote Jesca atakapochukua fomu hana mpinzani
CCM ina wenyewe
Sawa.Ndio
Great and deep thinking. This is the reality. Jesca ashindwe mwenyewe kuingia bungeni na kuteuliwa kuwa waziri wa TAMISEMI na hatimaye Waziri Mkuu. Kazi kwake.Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene
Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo ulimuandaa awe mbadala wa Dk Kalemani,ghafla Jesca naye akaibuka analitaka jimbo,
Tume imeanzisha jimbo jipya la Katoro ambalo litachukua sehemu ya Busanda na Chato
Ukiacha hapo kuna jimbo jipya la Chato Kusini
Ndio kusema mkoawaGeita umepatiwa majimbo mapya mawili,kazi kwake Jesca
Huko kote jina la Magufuli linapendwa na kukubalika ni kama nyumbani.
Popote Jesca atakapochukua fomu hana mpinzani
CCM ina wenyewe
Ni jambo la kusikitisha sana aisee!Nchi masikini Bunge lina zaidi ya wabunge 200.
Huyu kumpa Jimbo ni kumuonea,mtu anabubujikwa hadi machozi kwa kusifu halafu apewe Jimbo tu. Wampe zaidi ya Jimbo.Lucas Mwashambwa haja gaiwa jimbo ?
Na imeisha kuwa , chini ya Muumba wa mbingu na duniaSawa.
Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene
Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo ulimuandaa awe mbadala wa Dk Kalemani,ghafla Jesca naye akaibuka analitaka jimbo,
Tume imeanzisha jimbo jipya la Katoro ambalo litachukua sehemu ya Busanda na Chato
Ukiacha hapo kuna jimbo jipya la Chato Kusini
Ndio kusema mkoawaGeita umepatiwa majimbo mapya mawili,kazi kwake Jesca
Huko kote jina la Magufuli linapendwa na kukubalika ni kama nyumbani.
Popote Jesca atakapochukua fomu hana mpinzani
CCM ina wenyewe
Bwaha!!! Bwaha!! Bwaha!!! Bwahahahaaaa!!!Na imeisha kuwa , chini ya Muumba wa mbingu na dunia
Inaonekana we mwenyeji sana huku,Kalemani akirudi ni muujizaKwahiyo hao akina Katwale, Maghembe na king'ang'anizi Kalemani wanagombea Jimbo lipi ili kumpisha Jesca?