Jesca kwanini hukuniambia kama una jinsia mbili?

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Najua upo humu jamii forum kwani mimi na wewe tumefahamiana humu humu kupitia Kule kwenye jukwaa la siasa toka mwaka 2016.

Jesca umeniuzunisha sana kwa kutokuniambia ukweli kuwa wewe unajinsia mbili ya kike na kiume yaani (Mjegejo na papuchi)

Kipindi nakutongoza jesca ulikuwa mpole sana na ulikuwa unanionea aibu sana kumbe una mjegejo jesca!!
Aaaaah imeniuzunisha sana.

Sikulaumu kuwa najinsia zote mbili kwani watu kama hao mpo wengi sana, nakulaumu kwasababu tu kwanini hukuniambia ili uniandae kisaikolojia kipindi nataka nikugegede.

Umeniachia maswali mengi sana jesca. Mfano.
1. Kwanini tulipoingia room tu wewe ukawa wa kwanza kuvua nguo?

2. Kwanini hukuniambia mapema?

3. Hivi hukujiuliza mimi nitachukuliaje?

Eti unaniambia dushe halifanyi kazi madaktari waliliua na kuacha papuchi ndio ipo active hivyo nisijali, unadhani ingekuwa rahisi kiasi hicho jamani.

Kiukweli mimi nilishindwa kugegedana na wewe huku dushe lako naliona likiniangalia. Kwahiyo naomba unisamehe kwa maamuzi niliyochukua maana nimeona sikuwa na jinsi kabisa.

Nakuomba jesca pokea simu zangu usizikate kwani wewe ni binadamu tu kama walivyo wengine na huo pia ni uumbaji tu.

Ila kama ungeniambia mapema pengine ningejitahidi kidogo ila kwa sapraiz ile nilishindwa kabisa.

NAJUA UJUMBE HUU UTAUPATA NA UTANIPM.
 
Back
Top Bottom