Jesca Kishoa Amhamisha Mkurugenzi Wa Iramba

Jesca Kishoa Amhamisha Mkurugenzi Wa Iramba

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
6,346
Reaction score
1,873
Jesca Kishoa amhamisha mkurugenzi wa Iramba baada ya kutoa ufisadi wa kutisha katika halmashauri ya Iramba. Jesca Kishoa aliwaeleza wananchi juu ya ufisadi uliofanywa na halmashauri hiyo katika mikutano ya hadhara wiki iliyopita.

Baada ya heka heka ya jimbo la Iramba kwa Mwigulu Nchemba , Jeaca, George Gunda, Binti ChDEMA (HANJE), Pembe Msafiri pamoja na kamanda Emmanuely Shango.

Sasa inaonyesha dhahiri kuwa uozo wa serikali kuwahamisha watuhumiwa wa ufisadi kutoka eneo moja kwenda jingine unaendelea kwa kasi yake badala ya kuwawajibisha.

Hongera Jesca kwa kazi nzuri Iramba.
 
Kazi ya Mungu inaendelea maccm wameshindwa kuongoza nchi ukawa chukueni nchi
 
Chadema imebakisha kazi ya kumuondoa Nchemba. Iramba wako tayari ni muda tu utakapofika huyu gaidi aliyeshindwa kutetea shilingi yetu naye atafungasha virago
 
Mungu tunaomba ututendee haki wa Tanganyika tunaelekea kubaya, Freedom is coming.
 
yule mkurugenzi katoka?
angalau wilaya itapumua.
 
Safi sana hii ya kuyatangaza maovu haya ya watumishi wanaopewa dhamana kwa wananchi ni nzuri sana. Hata serikali ikisema inamhamishia sehemu nyingine watu wawe wanajua kabisa makosa yake na itaweza kuchangia wananchi katika kumkataa
 
Jesca Kishoa amhamisha mkurugenzi wa Iramba baada ya kutoa ufisadi wa kutisha katika halimashauri ya iramba jesca kishoa aliwaeleza wananchi juu ya ufisadi uliofanya na
halimashauri hiyo katika mikutano ya hadhara wiki iliyopita.

Baada ya heka heka ya jimbo la Iramba kwa mwigulu nchemba , Jeaca, George Gunda, Binti Chadema (HANJE), Pembe Msafiri pamoja na kamanda Emmanuely Shango . Sasa inaonyesha dhahiri kuwa uozo wa serikali kuwahamisha watuhumiwa wa ufisadi kutoka eneo moja kwenda jingine unaendelea kwa kasi yake badala ya kuwawajibisha. Hongera jesca kwa kazi nzuri Iramba.

Ndio nani huyo?
 
Safi sana hii ya kuyatangaza maovu haya ya watumishi wanaopewa dhamana kwa wananchi ni nzuri sana. Hata serikali ikisema inamhamishia sehemu nyingine watu wawe wanajua kabisa makosa yake na itaweza kuchangia wananchi katika kumkataa
Ndio anguko la ccm linaanza kuonekana
 
Nilidhani kafukuzwa kumbe kahamishwa

Umesahau kuhamisha wahalifu badala ya kuwawajibisha inavyostahili ndio desturi ya serikali hii dhaifu? Lakini bado ni ushindi kwa waliom'funua' uozo wake mpaka akatolewa sehemu hiyo.
 
Back
Top Bottom