Upo Poa Aisee!!
Mara ya Kwanza Kuusikia nikawa Nasikia jina Jerusalema...
Nikawa najiuliza Ni Jerusalem Ya Israel au Jerusalema Kama neno la kizulu..!
Kumbe ni Mahadhi ya Gospel/Injili.
Jerusalemu Mpya ya Waaminio katika Kweli.
Wale Walio Pokea neno la Warumi. 10:9-12
Wimbo ukanikumbusha Wimbo wa Miaka ya 2000's Mwanzoni wa Bishop Jangalason..Kila Mtu Anakwao
Jangalason -Kila Mtu anakwao.
"Tulipokuwa Watoto tulicheza michezo,Mchezo wakukimbizana pia na wakujificha/
Ulipofika muda wakutawanyika kila mtu alirudi kwao/
Wengine Majumba ya mabati wengine Majumba ya Manyasi Mkataa kwao ni Mtumwa/
Ukisikia jina Olasa unajua ni mtu ya Moshi,
Mwamposa unajua Mtu ya Mbeya,
Njoroge unajua Mtu ya Kenya,
Kila Mtu anakwao
Mlevi/Mzinzi Unajua ni jehanamu/
Jambazi/Muongo unajua ni Kuzimu/
Ukisikia Wakora unajua ni Uzao Wa nyoka..
Kila Mtu anakwao...
Sisi tuliokoka Makazi yetu ni Jerusalemu,
Jerusalemu Mpya ndio kwetu/"
Hiii pia SKELETON MOVE-Master Kg naikubali mapigo yake