Jerusalema ya Master KG Yavunja Rekodi Shazam

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,440
16,242
Kwa mujibu wa Shazam, wimbo wa mwanamuziki Master KG umevunja rekodi ya kuwa wimbo uliotafutwa zaidi duniani.

Congrats @MasterKGsa! #Jerusalema is now the most Shazamed song in the world https://t.co/S4pae4sV5N

View attachment 1563698View attachment 1563699
IMG_20200908_221649.jpg
 
Vionjo vya Africa Kusini ni balaa.

Sema hivi karibuni wale vijana wenye mamuziki ya maDJ kama Destruction boys walikuwa wanataka kuharibu kabisa muziki.

At least sasa Master KG wameonesha kuwa watu bado wanawataka Muziki wenye uhalisia kama kina Zahara, au ngoma za kina Mafikizolo kama Khona.
 
Ni Kwa sababu ya christiano ronaldo tarehe 1 September mwaka huu alipost video huku ukiwa unasikika huo wimbo ndio maana ameongoza maana ronaldo anawafuasi wengi sana Instagram kushinda mtu yoyote yule dunia,ndio maana watu wakaenda kuutafuta lakini inaonesha watu wengi walikuwa hawaujui.
 
hii ina maanisha huu wimbo ulikua haufahamiki na watu wengi. ila possibly kuna superstar atakua aliutumia katika mishe zake hivyo watu wengi kupata fursa ya kuusikia. platform ya Shazam imekua na msaada sana kwa kupata nyimbo ambazo mtunzi wake au jina lake halifahamiki. ina uwezo wa ku capture lyrics au voice note na kutambua jina la msanii na jina la wimbo
 
hii ina maanisha huu wimbo ulikua haufahamiki na watu wengi. ila possibly kuna superstar atakua aliutumia katika mishe zake hivyo watu wengi kupata fursa ya kuusikia. platform ya Shazam imekua na msaada sana kwa kupata nyimbo ambazo mtunzi wake au jina lake halifahamiki. ina uwezo wa ku capture lyrics au voice note na kutambua jina la msanii na jina la wimbo
yap ni Cristiano Ronaldo ali post video akaweka iko kionjo na wafahamu fika yeye ndie celebrity mwenyew followers weng duniani

Sent using Xiaomi Redmi Note7 Pro
 
Upo Poa Aisee!!

Mara ya Kwanza Kuusikia nikawa Nasikia jina Jerusalema...

Nikawa najiuliza Ni Jerusalem Ya Israel au Jerusalema Kama neno la kizulu..!

Kumbe ni Mahadhi ya Gospel/Injili.

Jerusalemu Mpya ya Waaminio katika Kweli.

Wale Walio Pokea neno la Warumi. 10:9-12


Wimbo ukanikumbusha Wimbo wa Miaka ya 2000's Mwanzoni wa Bishop Jangalason..Kila Mtu Anakwao

Jangalason -Kila Mtu anakwao.

"Tulipokuwa Watoto tulicheza michezo,Mchezo wakukimbizana pia na wakujificha/

Ulipofika muda wakutawanyika kila mtu alirudi kwao/

Wengine Majumba ya mabati wengine Majumba ya Manyasi Mkataa kwao ni Mtumwa/

Ukisikia jina Olasa unajua ni mtu ya Moshi,
Mwamposa unajua Mtu ya Mbeya,
Njoroge unajua Mtu ya Kenya,

Kila Mtu anakwao

Mlevi/Mzinzi Unajua ni jehanamu/
Jambazi/Muongo unajua ni Kuzimu/
Ukisikia Wakora unajua ni Uzao Wa nyoka..

Kila Mtu anakwao...

Sisi tuliokoka Makazi yetu ni Jerusalemu,
Jerusalemu Mpya ndio kwetu/"



Hiii pia SKELETON MOVE-Master Kg naikubali mapigo yake
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom