Jerusalem kwa mujibu wa BBC


 
Unaujua uislam wewe, hakuna dhehebu linalojua wana wa Israel kama Islam, tatizo mnafichwa mengi, ndio maana mnaambiwa huko wakristo ni 2% hujiulizi tu. Nakushangaa akili yako inakutuma BN ni mkristo, pole sana. Aliyekwambia Yesu alikuwa mkristo nani? Hata historia ya dini unayoifuata huijui.
 
Tabby Islam wana Mungu mmoja tu, hatuna wawili wala watatu
 
Ingekuwa vizuri kama utaniambia jina la hicho kitabu chenye hii habari na Mimi nikisome huenda kuna nitakachoambulia hapo
 
Umesoma hiyo makala ya BBC?
Huyu jamaa kwa mengine yupo vizuri sana inapofika kwenye imani ndio utajua udhaifu wake ulipo yaani hata yeye anakuwa hajijui hakawii kukwambia yeye ni kondoo
 
Interesting!!!kumbe muhamed nae alipaa mbinguni?aisee nilikuwa silijui hili,ila mbona nasikia alikufa kwa sumu na akazikwa ardhini?hapa pakoje hapa!
Ulikuwa hujui? Endelea Kuamini ya kusikia
 
Watu mnangangania Yerusalem ya kale, sisi twatazamia Jerusalem Mpya ishukayo kutoka mawinguni
 
Honestly I don't care much who is god to who. That is their business. Ninachokisema ni kwamba nifahamishwe uhusiano wa waislam na Jerusalem!
Ndio ujue kuna watu wana elimu ya dini kuliko wewe kwa mara ya kwanza nakuona umenywea huwa tunakuchora tu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hii uliyoeleza hapa kuna mambo hujayaeleza kidogo , kuna sababu ya kubadili kibla kutoka Jerusalem kwenda Mecca. Kama yawezekana kuweka sababu, naomba uweke ili tujue. Maana kama ingalikuwa hakuna umuhimu mkubwa pale kwa Waisilam basi wangewaacha wale Waisrael na huo mji, kuepusha ugomvi. There is a greatest secreat there na kama ingalikuwa kama ilivyotakiwa yawezekana hata pangekuwa ndo mahali patakatifu zaid .
 
Kuna mtume mwongo aliwadanganya waumini wake kuwa alisafiri usiku hadi Jerusalem!! Huyu ndie alieenza chuki ya ya kipuuzi kabisa kwa kutunga uongo!
Ingekuwa vizuri mkawa na hakika na mnayoyaandika, we mkweli ulijuaje kama huyu mtume ni muongo, ulikuwapo muda alipowadanganya wafuasi wake, ulikuwapo huo muda alipodanganya kwa hicho anachosema amekifanya. Msilolijua sio vyema kuliongelea, jaribu kufahamu ndipo muamuwe kuwambie wengine.

Ni muhimu kwa wakristo kujifunza asili ya ukristo na kujibidiisha kufahamu kwa undani imani ama dini wanayoifuata na wasiwaache wahubiri na viongozi wao wajuu tu kuwahubiria wanachkitaka katika dini ndio hatimae wanadanganywa na kupelekwa kule wanakokutaka wakubwa na wahubiri wao.

Msingi ea imani za dini duniani ni lazima zisomwe usipo kuwa mdadisi na mchunguzi wa imani unayoikibali huwezi kuwa na imani thabiti na imara kwa dini yako.

Kwa iyo nawashauri wakristo wote wanaoamini kuwa jerusalem ni halali na ni ya wayahudi kwa enzi na enzi warudi na kufanya utafiti japo kwa kujiuliza na kuuliza na kujisomea maandiko hata hayo wanayoyaita matakatifu kwa umakini ili wawe na uhakika na uhalali wa iman zao na sio kuibuka na kukisifu mbele za watu kuwa wao ni wakristo ilhal huyo yesu mwenyewe hakuwa na jeuri hiyo.

Kwa iyo ndugu yangu soma na chunguza iman unayoiamini ndipo itajuwa anachokisema mwengine ni uongo ama ni ukweli na kwa msingi ipi.

Bwana yesu asifiwe.
 
Yerusalemu ni mji wa waislamu pekee hao wengine ni wakorofi na uzandiki.Ipo siku uislamu utatawala dunia !! Eeeh Mwenyezi Mungu tuokoe waja wako kutokana na vitimbi vya marekani na Israeli.
 
Dini yako hainihusu!. Sina sababu ya kujua unachokiabudu kama ni kibudu ama nyamafu, hayo ni yako.

Mimi nina mjua Mungu wa Mbingu, Jehova Mungu wa Israel na Yesu Kristo Mwokozi wa Ulimwengu ambaye wewe humjui.

Sihitaji kuwa kama wewe unayejifanya kuongea habari za Kristo wakati humjui. Jibu hoja. Kuna nini chenu katika Jerusalem?

Ndio ujue kuna watu wana elimu ya dini kuliko wewe kwa mara ya kwanza nakuona umenywea huwa tunakuchora tu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ok. Umesema sahihi kwa kuwa wewe ndiye unayeabudu.

Swali langu, kuna nini chenu na mungu wenu katika Jerusalem?

Naomba uwe precise ili tujadili. Kuna mtu mmoja jana aliniambia kwamba Kibra ilikuwa Jerusalem kabla haijahamishiwa Mecca.

Nikamwuliza, aliyejenga Kibra Jerusalem ni nani? Alijenga lini? hajanijibu. Sasa wewe ninaona unaelewa hii habari, naomba unijibu na maswali ya nyongeza, : Ilikuwaje ikajengwa Jerusalem? Kwa nini ilihamishiwa mecca? Baada ya kuhamishwa hiyo Kibra, nini kilisalia cha uislam ambacho kinashikana na ardhi ya Jerusalem hadi iwe mali ya waislam hata kama siyo kwao?

Ahsante.


Tabby Islam wana Mungu mmoja tu, hatuna wawili wala watatu
 
Pimbi huyoo mleta uzi watu Tunataka amani yeye analeta udini wake hapa hopeless kabisa yaani Lol [emoji16] Waislamu na Wakristo wameishi pamoja miaka yote isipokuwa hao wajinga na ideology zao za ushetani ndoo fitna wakubwa
 
Katika huu Uzi umenisoma vizuri? Umeona sehemu nimeiongelea Jerusalem? Kikubwa nimekanusha ulichoongea jaribu kupitia vizuri, pia nashukuru nimekuelewa zaidi juu ya uelewa wako katika imani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…