Si kila mtu hasa maisha yetu ya kibongo anaeweza ku afford hizo kits halisi.. Mfano jersey OG ya Man u home ya msimu huu ni £59 kama 138,465.30 pesa ya madafu ya hapa.. unapata picha gani