Jerry Spare Parts and services Waja na Huduma ya Ukaguzi Bure kwa Gari Lako – Je, Umeshawahi Kuhudumiwa Nasi?

Jerry Spare Parts and services Waja na Huduma ya Ukaguzi Bure kwa Gari Lako – Je, Umeshawahi Kuhudumiwa Nasi?

Joined
May 2, 2025
Posts
29
Reaction score
22
Habari wakazi wa JamiiForums!

Kama ulikuwa umewahi kufika Jerry Spare Parts and Services kwa ajili ya huduma ya spare parts, repairs au diagnosis, sasa tunayo habari njema kwako! Kwa kutambua thamani ya uaminifu wako, tumeamua kurudisha fadhila kwa staili ya kipekee.

🎁 Tunakupa nafasi ya kukagua gari lako bure kabisa (Free Car Check-Up) kwa wateja waliowahi kuhudumiwa kwetu. Ikiwa ni muda tangu gari lako likaguliwe kitaalamu, hii ni nafasi nzuri ya kuhakikisha kuwa kila kitu kiko sawa – bila malipo yoyote!
Huduma hii inahusisha:
✔️ Kukagua mfumo wa breki
✔️ Kuangalia hali ya betri
✔️ Kuchunguza oil leak
✔️ Kuangalia mafundo ya mfumo wa suspension
✔️ Kupima mfumo wa taa na indicators
✔️ Kuzingatia usalama wa jumla wa gari lako

Kwa nini tufanye hivi? Sababu ni rahisi: tunaamini kuwa mteja aliyeridhika leo ndiye balozi wetu wa kesho. Na pia tunajua kuwa magari mengi huingia matatizoni kwa sababu ya vitu vidogo ambavyo vilikuwa vinaweza kugundulika mapema.


📍 Makao yetu yapo Dar es Salaam – Makumbusho, na pia tunapatikana Kahama, Arusha, Dodoma, na Mwanza.
📞 Pigia sasa: 0715 666 656
🕘 Tunapokea wateja kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi 11:00 jioni kila siku


Jerry Spare Parts and Services – huduma bora, bei rafiki, na kujali wateja wetu kila siku.
 
Back
Top Bottom