Jerry Slaa: Meya wa mfano Afrika nzima

Jerry Slaa: Meya wa mfano Afrika nzima

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,405
Reaction score
11,196
Huyu ni mwanasiasa kijana na msomi pia ni meya wa manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, Tanzania. Aliyeyofanya Ilala yanaonekana kwa macho na wala huitaji kuandika hapa.

Pichani akitoa msaada wa vifaa vya kufanyia usafi. BRAVO Mstahiki Meya.

attachment.php
 

Attachments

  • slaa.JPG
    slaa.JPG
    227.7 KB · Views: 1,484
wala usiwe na shaka na sifa zako.hili jukwaa wapo wana ilala watakuja tujue ukweli kama mnafagia sebuleni na kuacha vyumbani
 
Meya kilaza hakuna kama huyyu mji mchafu
 
pongezi zimfikie mstahiki meya a.k.a digital native
 
ulaji-ulaji-ulaji

ni mfano wa kuigwa maana mtu kumaliza historical sites kwa 10% sio mchezo
 
wewe ni kilaza zaidi yake mara mia
Acha upuuzi humu
 
mleta mada upo hapo?
hii ndo jf ze homu of griti sinka
 
namuona muuza sura hapo. kama kawaida yake aendelee kuuza sura. nawashangaa hata hao wananchi wa ukonga waliochagua huyo bishololo. jiji chafu utafikiri nini. tutamkumbuka sana mzee wetu charles keenja kwa utendaji wake uliotukuka.

Huyu ni mwanasiasa kijana na msomi pia ni meya wa manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, Tanzania. Aliyeyofanya Ilala yanaonekana kwa macho na wala huitaji kuandika hapa, pichani akitoa msaada wa vifaa vya kufanyia usafi. BRAVO Mstahiki Meya.
 
kuna habari ya mujini kuhusu Jerry...............................................
 
Huyu ni mwanasiasa kijana na msomi pia ni meya wa manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, Tanzania. Aliyeyofanya Ilala yanaonekana kwa macho na wala huitaji kuandika hapa, pichani akitoa msaada wa vifaa vya kufanyia usafi. BRAVO Mstahiki Meya.
Hilo nililokoleza wino futa ushapita Kkoo siku za karibuni ukaona rundo la matakataka au unaropoka tuu.Kunanuka mbaya au K.Koo sio ilala au wewe unazungumzia ilala ya keepleft alivyowekeza.Hebu tuondolee shida na uwe unaleta mada ambazo hatujui.
 
kama ni kampeni ya ubunge wa ukonga 2015 hapati ng'o wala asijidanganye. Ukonga ccm haiwezi tena kuchukua jumbo hata kwa kuiba kura.
 
Back
Top Bottom