Jerry Slaa hana assistant?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
madiwani-6.jpg


Mohammed Dewji Blog


mwenye macho haambiwi ona
 
Kuna mtu alianzisha thread akashambuliwa sana... kisa alimuita huyu jamaa dogo janja

He is really working for the camera this little dude
 
tunatengeza RA, EL mwingine ni hatari kama mchwa
ana weza kula mpaka chuma
maisha ya watanzania kwake ni mtaji wa biashara
 
Huyo dogo Mwizi sana, sijui hata huko Gongo la Mboto wanamwamini vipi.Yeye akiwa waziri wa Michezo wa DARUSO (2004) na Waziri mkuu wa DARUSO wakati huo bwana Makene (Sasa ni paparazi)waliiba fedha za freshers ball (sherehe za kuwakalibisha first year), wakalazimishwa kujiudhuru katika katika nyadhifa zao., Sasa ndio kaibukia huko kwao Gongo la Mboto.Wahusika muwe macho na hiyo misaada, watu wenye tabia za Udokozi huwa siyo wa kuwaamini. Kama yuko humu JF akanushe kama hakujiudhuru kwa kashfa ya wizi
 
Nimemuona dogo tokea nikiwa Pugu Secondary, hadi UDSM, ni kijana anaependa kua kiongozi, na anajitahidi kwa kiasi kikubwa kutekeleza yale ambayo mnakua mmejipangia kwa pamoja. Kwa taswira ya nje ni mtenda kazi mzuri.. Sijawahi kuanza kuchunguza ndani yake kuna nini..ila pia, waswahili wanasema ukiona ngoma inalia sana.....................
 
Back
Top Bottom