Hana Jipya He is a failure leader!! Ndio tatizo la kuwapa watu vyeo wenye siasa Nyingi (Active in speaking failure in Implementing) Watu wanauza maandazi Pala Posta Mpya kunako Vumbi!! Michanga na Kila aina ya Uchafu!! Kisa Hawa ni wapigakura hawatakiwi wabugudhiwe!! Kura Ipi sasa?