MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,858
"Nanyinyi igeni mfano wangu;pambaneni nao ili muaminiwe na chama. Ikibidi hata kuwatukana viongozi wao wakuu,fanyeni hivyo.Chama kitawatunuku"
That speaks volumes of what CDM has become in this country; Homa ya jiji.
Kumbe ukitaka ulaji ndani ya CCM lazima kujipirikicha like a dog on heat! na maigizo kwamba unapambana na CDM; Kumbe Jerry Slaa is another conjurer; sanaa za jukwaani.
CCM sasa ni wazi lazima ife tu kama KANU, UPC, MPC na UNIP! kama hata vijana wake kizazi kipya kama Jerry Slaa ni wachumia tumbo!! CCM bye bye.