leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,439
- 1,850
Hujue jerry muro wewe no mwandish humu namo kuna waandish sasa ebu pitia tena taarifa yako ualafu utuambie theme yako na Heading alafu utupe mrejesho. Unaikosoa TEF unamsifia makonda au unatupa mrejesho wa tukio la makonda na clouds. Naona unachanganya mada ebu rudia kuwachambua TEF ntakuelewa maana naona anaanza moja kuesabu then unafuatia 7
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app