bovason
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 562
- 349
Njaa mbaya sana Jerry pole sana tafuta kazi wewe si una carrier yako? huwa nakushangaa sana wewe mchaga wa wapi unajikomba mbona wenzako ni chapa kazi haswa? Huyo Bashite ni nungu nungu mwishowe atakurushia miiba ile ni gunia la misumari kaa mbali naloJerry Muro ni kibaraka wa Bashite..
Sasa msafishe na kashfa ya wizi wa cheti na jina feki.
Muro ana taaluma ya uandishi wa habari?Taarifa kama vile haikuandikwa na mwandishi wa habari aliye na taaluma na uzoefu wa uandishi wa Habari.
Andika yako wewe uliyesomea bevarage & servicesTaarifa kama vile haikuandikwa na mwandishi wa habari aliye na taaluma na uzoefu wa uandishi wa Habari.
Ahsante kwa ushauri muafaka.
Hilo swali ndilo sina jibu lake kufuatia andiko lake mkuu.Muro ana taaluma ya uandishi wa habari?
Toa ya kwako basi,sie wengine tunaangalia content,mambo ya uandishi kaeni nayo kwenye vyumba vya habariTaarifa kama vile haikuandikwa na mwandishi wa habari aliye na taaluma na uzoefu wa uandishi wa Habari.