Jerry Muro kugombea ubunge uchaguzi mkuu

Jerry Muro kugombea ubunge uchaguzi mkuu

Ukawa na wao sasa huyu mropokaji mnampeleka jimbo gan...? Prof. J-Mikumi, Afande Sele-Moro mjin

Muimba taarabu john komba vipi ataendelea na ubunge au ataingia mstuni kama alivyokuwa anatoa mipasho?
 
Huyu ni mweupe mno kichwani.
Shida ya wabongo mnaangalia ametingaje nywele na manukato mtu anayotumia.

Bora hata jerry Muro kuliko Rais wenu, Muro anajua kujenga hoja na kukemea, mtamkoma mwakani pale mjengoni mmezoea kusinzia
 
Wabongo kwa kushobokea na kukuza majina ya watu bwana hawajambo! Kijana mwenyewe hana lolote zaidi ya nyodo na ubishoo. Pole zao hao watako mchagua kuwa mbunge wao.
Moja ya sifa za uongozi (leadership skills) ni kuwa mtu mnyenyekevu, msikivu, mwenye maono na hekima ya kufikiri na kunena vitu ambavyo kijana hana. Mtu mwenye kunena kwa sifa, ntambo na majivuno hana sifaya kuwa kiongozi, hata kama ni kuchaguliwa kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Na niliyaona hayo wakati ule ameingia matatani na jeshi polisi, japo binafsi nilimuombea sana aweze kuchomoka salama kwenye kilindi cha uonevu ule na aendelee na maisha yake mengine.

Mengine nawaachia wengine. Mimi nimemaliza.

Kwa hizi sifa zako hawa wabunge wasingekuwa bungeni leo, Juma Nkamia, John Komba, Riziwan jk, Asumpta Mshana, Anne Makunda, peter msola, Maji marefu, Bukwimba, Hamed Salum, na wengine wengi tu ukambeza jerry Muro nawewe akili yako itakuwa imechanganyika ba zinc
 
Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA hata akigombea kupitia ccm nitampigia kura yangu kama itakuwa jimboni kwangu
Kwa sisi tunao nfahamu huyu Dogo na mambo Yake aliyokuwa ana fanya na Deo Mgasa tunakuona Kama umechizika na aujui chochote
 
Kwa sisi tunao nfahamu huyu Dogo na mambo Yake aliyokuwa ana fanya na Deo Mgasa tunakuona Kama umechizika na aujui chochote

kwa wewe na nani? si uyaweke hapa vinginevyo ni porojo tu na povu vinakutoka
 
mkuu maana ya kuwa mwanachama hai ni kumiliki kadi na kuilipua, pia kushiriki shughuli za chama na yote hayo nayafanya, utaniambiaje sina kadi mkuu?

Acha kuzingua! Wewe CDM halafu umchague mgombea wa CCM? Wapi na wapi? Ungesema ungemshauri agombee kupitia CDM ili umpe kura yako hapo ungeeleweka vinginevyo unadanganya umma.
 
Jerry muro atakuwa ccm, maana huko yanga ndiyo ajira yake ilipo

Sio lazima awe CCM kwa kupata kazi Yanga,...fikra za kimapinduzi ni tofauti na fikra za kutafuta ajira! ...tusisahau kuwa Jerry, [mara alipotoka jela] alishajitambulisha kuwa mwanamapinduzi kupambana na policcm, na kukaribishwa ktk mkutano wa BAVICHA uliofanyika Morogoro [nadhani mwaka 2012 au 2013], na alisalimia kwa salamu za V na peeoples....!

...yeyote aliye na data atupe uhakika! Jerry anaweza kuwa kijana wa CDM na sio Magamba!
 
Hakuna haja ya kukisia lazima atagombea kupitia chama chao cha wamangi
 
jimbo gani? kama ni kweli anaogopa nini kutaja jimbo na chama anachopitia? akiogopa kusema sasa si jasiri na hatufai kwa sasa
 
Acha kuzingua! Wewe CDM halafu umchague mgombea wa CCM? Wapi na wapi? Ungesema ungemshauri agombee kupitia CDM ili umpe kura yako hapo ungeeleweka vinginevyo unadanganya umma.

mimi sichagui chama bali mtu! hata hivyo jerry siyo ccm
 
Kijana Jerry Muro anaingia jimbo la Hai kumtoa yule nduli dada wa Chadema
 
Nauakika uyo Kijana anaweza kufanaya mambo mazuri akiwa mjengoni. Kila binadamu anamapunfu yake, akuna aliye 100% perfect. kama anataka kutangaza nia ni sawa akuna mtu mwenye ati miliki ya Uongozi. Go Jerry.
 
Nauakika uyo Kijana anaweza kufanaya mambo mazuri akiwa mjengoni. Kila binadamu anamapunfu yake, akuna aliye 100% perfect. kama anataka kutangaza nia ni sawa akuna mtu mwenye ati miliki ya Uongozi. Go Jerry.
huo ndo ukweli mkuu, go jerry
 
Naweza kukuunga mkono maana YANGA, CCM na hawa ndugu zetu katika imani huwa na mahusiano yasiyo na afya hasa katika vipindi vingi vya uchaguzi..

Wakishalizwa na Serikali mbio kutoa matamko yasiyokuwa na kichwa wala miguu na wala hayatekelezeki

...... Mkuu nimeipenda: NDUGU ZETU KTK IMANI!
 
Ndoa imemshinda ataweza Ubunge? yeye abaki kula majimama tu a.k.a Mariooo
 
Back
Top Bottom