Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
Kama kweli tunataka viongozi wa kutuwakilisha na kutusemea huyu jamaa anafaa sana, sujui ni ndoto zipu uwa sahihi? maana maneno hayo ameyatoa usiku na si mchana
jerry naona ume amua kujipa promo mwenyewe....tatizo kubwa la huyu jamaa ni misifa isiyo kua na mpango,but anajua kujenga hoja na kujieleza.