Jerry Muro kugombea ubunge uchaguzi mkuu

Jerry Muro kugombea ubunge uchaguzi mkuu

Lini Ameacha Tabia Yake Ya Kulewa Pombe Chakari Na Kuwabandua Hovyo Wahudumu Wa Ukumbi Wa Maembe Bustani Kama Dada Zainab?

Kubandua akumpunguzii sifa za kuwania ubunge kama kweli ana nia, kama ingekua ni shida basi Nyalandu asinge kua waziri.
 
Wabongo kwa kushobokea na kukuza majina ya watu bwana hawajambo! Kijana mwenyewe hana lolote zaidi ya nyodo na ubishoo. Pole zao hao watako mchagua kuwa mbunge wao.
Moja ya sifa za uongozi (leadership skills) ni kuwa mtu mnyenyekevu, msikivu, mwenye maono na hekima ya kufikiri na kunena vitu ambavyo kijana hana. Mtu mwenye kunena kwa sifa, ntambo na majivuno hana sifaya kuwa kiongozi, hata kama ni kuchaguliwa kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Na niliyaona hayo wakati ule ameingia matatani na jeshi polisi, japo binafsi nilimuombea sana aweze kuchomoka salama kwenye kilindi cha uonevu ule na aendelee na maisha yake mengine.

Mengine nawaachia wengine. Mimi nimemaliza.
 
kwa upande wangu huyu jamaa kanivutia sana anajua kujenga hoja hivyo kama atagombea katika jimbo langu nitampigia kura

Hizo hoja zi wapi mbona hujazibainisha hapa?
 
Sio kweli kuwa ukiwa mshabiki wa Yanga basi ni ccm.
Mimi nashabikia Yanga tangu utotoni lakini sio ccm.
Hata John Mnyika ni shabiki wa Yanga ila ni kiongozi muhimu wa CDM.
Naweza kukuunga mkono maana YANGA, CCM na hawa ndugu zetu katika imani huwa na mahusiano yasiyo na afya hasa katika vipindi vingi vya uchaguzi..

Wakishalizwa na Serikali mbio kutoa matamko yasiyokuwa na kichwa wala miguu na wala hayatekelezeki
 
Huyu ni mweupe mno kichwani.
Shida ya wabongo mnaangalia ametingaje nywele na manukato mtu anayotumia.
 
Lini Ameacha Tabia Yake Ya Kulewa Pombe Chakari Na Kuwabandua Hovyo Wahudumu Wa Ukumbi Wa Maembe Bustani Kama Dada Zainab?
Ukitaka uvuliwe nguo na kujulikana kuwa Mwanasiasa, haya sasa Jerry Muro pole sana
 
Ukawa na wao sasa huyu mropokaji mnampeleka jimbo gan...? Prof. J-Mikumi, Afande Sele-Moro mjin
 
Huyu ni mweupe mno kichwani.
Shida ya wabongo mnaangalia ametingaje nywele na manukato mtu anayotumia.
Mbona 2005 tulimchagua JK kuwa Rais sababu ni Hsndsome😀

Wacha tuendelee na mtindo wetu huu!
Watanzania uwezo wetu wa kufikiri na kupambanua mambo ni mdogo sana???

Poor Tanzania!
 
Wabongo kwa kushobokea na kukuza majina ya watu bwana hawajambo! Kijana mwenyewe hana lolote zaidi ya nyodo na ubishoo. Pole zao hao watako mchagua kuwa mbunge wao.
Moja ya sifa za uongozi (leadership skills) ni kuwa mtu mnyenyekevu, msikivu, mwenye maono na hekima ya kufikiri na kunena vitu ambavyo kijana hana. Mtu mwenye kunena kwa sifa, ntambo na majivuno hana sifaya kuwa kiongozi, hata kama ni kuchaguliwa kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Na niliyaona hayo wakati ule ameingia matatani na jeshi polisi, japo binafsi nilimuombea sana aweze kuchomoka salama kwenye kilindi cha uonevu ule na aendelee na maisha yake mengine.

Mengine nawaachia wengine. Mimi nimemaliza.

Kwa sifa hizo , nafasi nyingi zingekosa wagombea.

watanzania hawachagui kwa vigezo hivyo.... ni vigumu sana kuelewa vigezo vya watanzania, lakini kila siku watu wanaingia madarakani kwa kuchaguliwa . Yeyote anaweza kuchaguliwa , ndiyo Tanzania ilivyo.
 
Back
Top Bottom