Jerry Muro Awaombea Rais Magufuli, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
IMG-20171026-WA0022.jpg
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,mnakumbuka huyu jamaa aliwapiga picha kwa siri askari wa barabarani wala rushwa kitendo ambacho kilimng'arimu sana ukizingatia awamu ya nne haikujali sana wala rushwa.
 
Alafu mkavuuu hana hata aibu njaa mbaya sana akiwa DC huyu kesho yake atatimuliwa kwa kupenda masifa
 
Muro mimi namkubali sababu yeye ni moto habari mara vuguvugu no. Kujiamini ni moja ya hatua kupata mafanikio.
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,mnakumbuka huyu jamaa aliwapiga picha kwa siri askari wa barabarani wala rushwa kitendo ambacho kilimng'arimu sana ukizingatia awamu ya nne haikujali sana wala rushwa.
kwahiyo unataka kutuambia nini?
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,mnakumbuka huyu jamaa aliwapiga picha kwa siri askari wa barabarani wala rushwa kitendo ambacho kilimng'arimu sana ukizingatia awamu ya nne haikujali sana wala rushwa.
Pia aliwahi kukamatwa akiwa na pingu ilhali yeye siyo mgambo!!
 
Back
Top Bottom