PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Wana ukawa naona Mwanahabaro Jerry muro anafaa sana kuwa mwanahabari au msemaji wa ukawa kutokana na umahiri wake katika tasnia ya habari hapa nchini.
Kwanini ukawa wasimwajiri kama msemaji wao na mwana habari wa ukawa?
Naona anafaa sana kupambana na propaganda za ccm na Act wazalendo kuelekea uchaguzi mkuu
Na itasaidia kila chama kuwa ni msemaji wa ukawa pamoja na viongozi wetu kushambuliwa na kuonekana kama hayo matanko wanayatoa wao badala ya umoja wa ukawa.
Tuchangie na na kumjadili huyu kijana kama anafaa.