Jeremia Sumari (MP) is very sick

Jeremia Sumari (MP) is very sick

RIP Jeremiah Sumari
Rev, nakuomba itendee haki title yako na jf kwa ujumla!.
Lazima tuwe na ubinaadamu ukisikia mtu ni mgonjwa unamuombea apate afueni.
Wana bodi huyu ni waasisi wa biashara ya securities.
Get well soon.
 
Hapana mkuu sio muda mrefu sana maana kuna mtu alienda kumuona/kumjulia hali mwezi huu wa kwanza nyumbani kwake. Inawezekana yuko India lakini alikuwepo nyumbani two weeks ago.
  1. Ni kweli amelazwa yuko India muda mrefu sana.
    Alimchakachua dogo wa Chadema kwenye ubunge.
 
Back
Top Bottom