Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Jamani ee, kuna mwanasaikolojia hapa anisaidie kujielewa? mwenzenu nimepata kijitatizo kidooogo. Hii picha hapa chini nimeikuta mahali nikaipenda ghafla.... alaf hata sababu siijui. Jenister Mhagama lazima atakuwa mke wa mtu tu,na kama wote tunavojua mke wa mtu ni su? sumu.... kwa hiyo yeye so sababu ya mimi kuipenda hii picha. Yupo na rais na raia kadhaa hapa. Rais mwenyewe nampenda kidogo sana, ingawa simchukii. Sasa inakuwaje? Mbona hii picha nimeipenda?
:spider:😛eace::spider:Any ideas?...
View attachment 173122
branch? branch ya nini...hebu funguka bas mkuu...
huyu mama ni mjane, mumewe halisi tulishamzikaga miaka mingi sasa . ila kama una ubavu wa kushindana na mgombea mmoja wa upresident jaribu bahati yako. hofu yangu anaweza kuhamishia nguvu kwako baadala ya uraisi .
mgombea mwenyewe anatoka kanda ya kaskazini
Kaskazini wako wengi mpaka kina Mrema, Mamvi hebu fungua zaidi
mbona slaa humtaji, au hawezi kula kitu cha ccm
teh teh, mbavu zangu mie!Mambo ya itikadi yatakata stimu
..haa haa nasikia ni first lady mtarajiwa!
amechelewa , first lady ajaye ni mama jasmini.
Poa moyo kijana, huyo mama ni mjane, mme wake mr. Mhagama (Eng.) alifariki kitambo. Kama unahusudu wajane jitose tu jamaa yangu.Jamani ee, kuna mwanasaikolojia hapa anisaidie kujielewa? mwenzenu nimepata kijitatizo kidooogo. Hii picha hapa chini nimeikuta mahali nikaipenda ghafla.... alaf hata sababu siijui. Jenister Mhagama lazima atakuwa mke wa mtu tu,na kama wote tunavojua mke wa mtu ni su? sumu.... kwa hiyo yeye so sababu ya mimi kuipenda hii picha. Yupo na rais na raia kadhaa hapa. Rais mwenyewe nampenda kidogo sana, ingawa simchukii. Sasa inakuwaje? Mbona hii picha nimeipenda?
:spider:😛eace::spider:Any ideas?...
View attachment 173122
je first gentlemen huwa yupo?