gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
hayo ndio tuliyoyasema sisi kina gogo la shamba kwamba miaka hii mitano ni ya kusikia na kuona mambo mengi ya ajabu
Oneni aibu basi....mfano mmoja tu kautoa na amesema wanajua kwenye budget wamepanga nini. Then formular ya kuhamia wanaifahamu. Mbona mpo tu kuona watu wanashindwa? Dodoma tunaenda na nchi tutaiendeleza....nyinyi bakini na maneno yenu meeengiii ambayo hayajawahi leta suluhisho kwa shida zetu za kila siku!Ndio upeo wake ulipofikia mkuu
Utatolea wapi? Buku 7 haitoshi kununua tv.Kumbe una TV mimi hata sina..
nilimsikia na mimi kwenye Interview ya TBC kipindi cha Safari ya Dodoma anadai maandalizi ya ofisi za serikali dodoma yamekamili kwa asilimia 75 na makazi kwa watumishi asilimia 70 hivyo wanaweza kuhamia kwa awamu awamu ikabidi nizime TV nikalale
....mimi nilienda kuzima kule kwenye main switch kabisa.nilimsikia na mimi kwenye Interview ya TBC kipindi cha Safari ya Dodoma anadai maandalizi ya ofisi za serikali dodoma yamekamili kwa asilimia 75 na makazi kwa watumishi asilimia 70 hivyo wanaweza kuhamia kwa awamu awamu ikabidi nizime TV nikalale
....mimi nilienda kuzima kule kwenye main switch kabisa.
Haitoshi mkuu..Utatolea wapi? Buku 7 haitoshi kununua tv.
....''mimi Jenista (waziri) kwa mwaka huu mzima wa fedha nina mikutano minne Dodoma. Kwenye ile mikutano yote natakiwa kulipwa posho, maana yake ni kuwa napaswa nipate posho ya miezi mitano, sasa fedha hiyo ndiyo itakayoingizwa kwenye gharama za kuihamishia Serikali Dodoma''
Wee nawe toa povu lako hapa, kama ndio mhusika wa hili tamko ujue tunaendelea kuujua upeo wakoOneni aibu basi....mfano mmoja tu kautoa na amesema wanajua kwenye budget wamepanga nini. Then formular ya kuhamia wanaifahamu. Mbona mpo tu kuona watu wanashindwa? Dodoma tunaenda na nchi tutaiendeleza....nyinyi bakini na maneno yenu meeengiii ambayo hayajawahi leta suluhisho kwa shida zetu za kila siku!
Wewe ndiyo. Si wlioshangilia kwani wao walijua huo ni mchakato kwani unazo hatua kadhaa na hatua hizo zimeanza kwa kujua bajeti na mahali zitakapotoka hizo pesa.Alisema week 1..
ngombe wakashangilia
Hivi bado hajahama tuu?
Waachie tu watoto waangalie katuni mkuu...hhahahaWHAT.?!!,kwamba posho yake ndo itagharamia kuhamia dodoma?,ha ha ha,huyu mama ni noma asee,
bora niigawe tu hii tv,kama ndo tunafungana kamba kiasi hiki..
Vipi! Uchawi umezidi nini?Hii nchi bwana!
Watu hawakubali kila kitu kama wewe wanachunguza kwanza sio kila kitu ukiambiwa unapiga makofi bila kufikiria.Oneni aibu basi....mfano mmoja tu kautoa na amesema wanajua kwenye budget wamepanga nini. Then formular ya kuhamia wanaifahamu. Mbona mpo tu kuona watu wanashindwa? Dodoma tunaenda na nchi tutaiendeleza....nyinyi bakini na maneno yenu meeengiii ambayo hayajawahi leta suluhisho kwa shida zetu za kila siku!