Jenista Mhagama na gharama za kuhamia Dodoma

Jenista Mhagama na gharama za kuhamia Dodoma

nilimsikia na mimi kwenye Interview ya TBC kipindi cha Safari ya Dodoma anadai maandalizi ya ofisi za serikali dodoma yamekamili kwa asilimia 75 na makazi kwa watumishi asilimia 70 hivyo wanaweza kuhamia kwa awamu awamu ikabidi nizime TV nikalale
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wanatuona kama watoto, mbona mpaka sasa ajaondoka anafanya nini Dar? Serikali ya kukurupuka hii.
 
Nothing is impossible for the man who doesn't have to do it himself...

Wakubwa wakitaka wanaweza kuihamishia hata Rwanda maswala ya watumishi wachini watajua wenyewe😀
 
Ahsante sana Mkuu. Ni kitu cha kustaajabisha sana kusikia Waziri wa miaka mingi Serikalini akitoa kauli mfu kama hii na watu kuiunga mkono.

Hajafanya computation zozote zile za kuonyesha gharama husika halisi za uhamiaji Dodoma na pia posho zinazolipwa kwa Mawaziri katika hiyo miezi mitano wanayotakiwa kuwa Dodoma.

Serikali hii ni majanga makubwa.

http://www.mwananchi.co.tz/Makala/S...amia-Dodoma/1597592-3332366-lhnr66/index.html


Posho za mawaziri zihamishe wizara Dodoma??? .Kama ni kweli basi Sina hakika kama hii Serikali inajua inachokifanya.
 
Yetu macho kwan yamsing wameshindwa wanang'an'gania jamb ambalo litaigharim selikal
 
Back
Top Bottom