Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,806
Reaction score
3,860
1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO. Akishinda Prof tumeshinda Tanzania nzima (bila kujali kabila wala Dini)

2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC, Vatican na tumia network yako mliosoma nao Harvard University.

3. Mwijaku, Babalevo na Steve Nyenyere waandaliwe fungu la kusafiri na kamati yako.
 
Unataka mama yule ajing'ate na kudharirika waziwazi?

Kamwe hatoweza fanya hicho. Huko CCM kigezo cha kuteuliwa Waziri ni uwe kilaza na mlamba viatu vya wakubwa.
 
KUNA KITU HAKIPO SAWA HAPA...nilivyoona neno harvad na orodha iliyofuata, basi nkachoka
 
Unamponda bibi yako wa Songea 😹
Ila English yake ya kuunga na super glue kule atapoteana..!!
Yule hawezi kua bibi kwangu, ni mdogo sana kwa mama angu.

Ni mbunge wangu, yaan yule bila ulozi hatoboi, mganga wake ni kiboko toka msumbiji 1.

Diploma yake uchwara, uchawi hauvuki bahari, ila wa huyu mama umevuka na kuukwaa uwaziri wa Afya.
😂😂😂😂😂

Ila English yake, mie hoi, hivi hata huko Songea girls alifundisha nn? Sielewi hata
Maajabu hayaishi chini ya jua. Lol
 
Back
Top Bottom