Mkuu ngoja watu walioko huko alikokuwa
anahutubia watakuja kuijazia mashiko thread yako maana kwasasa km haitoshi
Ngoja Simiyu Yetu na MSALANI WAJE KUTUJUZA.
Hahahaaaaa akatimua mbio?? Au labda alikua anafanya kama alivyowahi kufanya Mbunge Fulani Kule bungeni usiku. Sijui anaitwa nani?
Mkuu katika wambea wewe wa kwanza kwa nini mnapenda kuongopa kweli bavicha ni janga sugu la wazawa .Punde nilikua naangalia taarifa ya habari TBC, anaoneshwa Mbunge wa Peramiho baada ya kuhutubia akiwa anagagaa chini huku nguo zimetapakaa vumbi na nyasi, japokuwa wameonesha picha tu bila maelezo yummkini Mh huyu ameanguka kwa jinsi alivyoonekana kuchafuka chapa chepe na baada tu ya kugundua picha zinamchukua akatimua mbio
My take
TUTAANZA KUSIKIA HABARI ZA NDUMBA HAPA
TBC Taifa Taarifa ya Habari saa 2.00 usiku (20/11/2013)
Mkuu katika wambea wewe wa kwanza kwa nini mnapenda kuongopa kweli bavicha ni janga sugu la wazawa .
mhagama alikuwa anacheza ngoma ya jadi ya mkoa huo huku akishangiliwa na mezaa kuu wewe unasema kaanguka kweli wewe kituko tangu mnyika awafundishe kusema uongo kila kitu mnadanganya na kugeuza mambo.
Kwani kuna nini cha ajabu hapa mhagama alikuwa anacheza ngoma mbele ya mgeni rasmi ilipokuwa mezaa kuu halafu mwehu mwenzenu anawadanganya eti kaanguka bavicha ni janga sugu la wazawa.hawatiii mguuu kwenye huu uzi