Jengo la Utawala la Chuo Kikuu Makerere lateketea kwa moto

Very sad. That building brings back unforgetable memories when every timr I visited the University.
What memories Mkuu? Au ulisoma na Taban Amin pale? Maana vitimbwi vyake na vya baba yake vilikuwa balaaa tupu.

Idi Amin alilazimisha mwanae awe admitted hapo kwenye faculty ya Civil engineering, ila alikuwa mweupe kichwani balaaa. Baadaye Amin akampeleka Moscow kusoma Aircraft engineering, ambako nako Warusi ilibidi wamrudishe home jamaa huku wakimwelezea kama unteachable. Teh teh teh 😀
 
What memories Mkuu? Au ulisoma na Taban Amin pale? Maana vitimbwi vyake na vya baba yake vilikuwa balaaa tupu.

Idi Amin alilazimisha mwanae awe admitted hapo kwenye faculty ya Civil engineering, ila alikuwa mweupe kichwani balaaa. Baadaye Amin akampeleka Moscow kusoma Aircraft engineering, ambako nako Warusi ilibidi wamrudishe home jamaa huku wakimwelezea kama unteachable. Teh teh teh !!
Ni historia inabaki hivyo.
 
Back
Top Bottom