teamasala
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 620
- 644
Yote Tisa, la Kumi sasa ni vyoo vya UDSM….kuanzia hostel mpaka madarasani vyoo ni vibovu vichafu na vimezeeka!
Najiuliza sana Estate department ina maana hawavioni au hawaoni hili?
Vijana wetu wanasoma kwenye mazingira Magumu sanaaa
acha tu yaani emagine choo cha shimo ni kimoja tu hall zima na kipo down stair🥲 loh, ukikuta asbh iyo foleni ya kuingia chooni ni huzuni[emoji22]