Jengo la utawala Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM

Rufiji dam

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
4,449
Reaction score
10,761
Nawasalimu kwa salaam yetu pendwa toka kwa mama yetu. Kwa wenzangu na mimi ambao tumewahi kupita chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kusoma ama kutembea tu kuna maajabu yapo katika jengo la Utawala.

Ukiingia kwenye jengo hilo ndio utaweza kumuelewa yule member wa humu ambaye mara nyingi utumia kauli ya SHULENI UWA MNAAENDA KUJIFUNZA UJINGA!

Hauwezi kuamini hili jengo lina ofisi za wasomi wabobezi na waandamizi na wakiwa wanaaminiwa na nchi hii. Chakuchekesha ukipanda kuanzia ghorofa ya kwanza mpaka ya tatu ni hovyo sana, hazipo katika umaridadi.

Ukianza kupanda ghorofa ya Nne unapigwa na butwaa, chini imewekwa malumalu na milango ya vioo ukweli inapendeza hapo ndio zipo ofisi za wazito wa UDSM.

Cha kujiuliza hawa wasomi wetu wapo tayari kupita sehemu chafu kuanzia ghorofa ya kwanza mpaka ya tatu ila ya nne ni safi.

Na muda wa kushuka atashuka kuanzia ghorofa safi akizipita ghorofa chafu. Ndio hapo unajiuliza hawa wasomi wetu walienda shule kujifunza ujinga ama. Rekebisheni jengo lote hilo.
 
Nashukuru sana Chuo Kikuu changu Bora Tanzania na ambacho nakipenda hakuna Mfano cha Mtakatifu Augustine (SAUT) hakina 'Aibu' hiyo na huenda ndiyo maana kilitoa, kimetutoa na kinaendelea tu kutoa (kuzalisha) Majiniasi watupu wa Kitaaluma ndani na nje ya Ardhi hii ya Tanzania.

I love you SAUT na hakika We build the City of God.
 
Pale pana afadhaliii, kuna ofisi kadhaa ukitembelea unahisi harufu ya uvundooo yet watu wanakaa na kuhudumu humo kuanzia asubuhi hadi jioni, jumatatu hadi ijumaa..januari hadi December, ntatumiamo tupicha subiri ni disable location recognition.
 
Kauli ya SHULENI UWA MNAAENDA KUJIFUNZA UJINGA!

[emoji116][emoji116][emoji116]
Shuleni ulienda kusomea ujinga (in Faiza Foxy voice).

[emoji116][emoji116][emoji116]
uwa ## huwa.
 
Nawasalimu kwa salaam yetu pendwa toka kwa mama yetu. Kwa wenzangu na mimi ambao tumewahi kupita chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kusoma ama kutembea tu kuna maajabu yapo katika jengo la Utawala.

Ukiingia kwenye jengo hilo ndio utaweza kumuelewa yule member wa humu ambaye mara nyingi utumia kauli ya SHULENI UWA MNAAENDA KUJIFUNZA UJINGA!

Hauwezi kuamini hili jengo lina ofisi za wasomi wabobezi na waandamizi na wakiwa wanaaminiwa na nchi hii. Chakuchekesha ukipanda kuanzia ghorofa ya kwanza mpaka ya tatu ni hovyo sana, hazipo katika umaridadi.

Ukianza kupanda ghorofa ya Nne unapigwa na butwaa, chini imewekwa malumalu na milango ya vioo ukweli inapendeza hapo ndio zipo ofisi za wazito wa UDSM.

Cha kujiuliza hawa wasomi wetu wapo tayari kupita sehemu chafu kuanzia ghorofa ya kwanza mpaka ya tatu ila ya nne ni safi.

Na muda wa kushuka atashuka kuanzia ghorofa safi akizipita ghorofa chafu. Ndio hapo unajiuliza hawa wasomi wetu walienda shule kujifunza ujinga ama. Rekebisheni jengo lote hilo.
Ndo maana nilikatisha kuendelea na elimu yangu hapo nikaamua kwenda kusoma Oxfodi, kembrij kwa bibi na kuvuka Atlantic Stanford, MIT, Yale, John Hopkins na havadi.

Siksi nilipiga Straight As Ilboru enzi hizo vipaji maalum.
 
Ulitafuta sehemu ya kupigia SELFIE ikakosa ukaamua kukinanga chuo baada ya kunusa harufu za vitabu tupu.

Pale ni kubukua tu no time to photograph yourself
 
Ndo maana nilikatisha kuendelea na elimu yangu hapo nikaamua kwenda kusoma Oxfodi, kembrij kwa bibi na kuvuka Atlantic Stanford, MIT, Yale, John Hopkins na havadi.

Siksi nilipiga Straight As Ilboru enzi hizo vipaji maalum.
Yaani vyuo vyote hivyo umepitia?. Tena vyote umetaja vile vikali. Au mimi ndio sijakuelewa?
 
Ndo maana nilikatisha kuendelea na elimu yangu hapo nikaamua kwenda kusoma Oxfodi, kembrij kwa bibi na kuvuka Atlantic Stanford, MIT, Yale, John Hopkins na havadi.

Siksi nilipiga Straight As Ilboru enzi hizo vipaji maalum.
We mhaya?
 
Nashukuru sana Chuo Kikuu changu Bora Tanzania na ambacho nakipenda hakuna Mfano cha Mtakatifu Augustine (SAUT) hakina 'Aibu' hiyo na huenda ndiyo maana kilitoa, kimetutoa na kinaendelea tu kutoa (kuzalisha) Majiniasi watupu wa Kitaaluma ndani na nje ya Ardhi hii ya Tanzania.

I love you SAUT na hakika We build the City of God.
I am sorry but Saut ni chaguo la waliokosa nafasi za kozi wanazozitaka UDSM. Kuchakaa kwa Majengo ni sahihi maana chuo ni cha zamani, mtoa mada angetuambia hali ipoje UDBS, Aquatics na Library mpya, viongozi wangependa wangechagua ofisi zao kwenye hayo majengo mapya, lakini kwa utimamu wao haijawa hivyo. Since chuo kipo chini ya serikali ni muda sasa kikarabatiwe pamoja na zile hostel za main campus ukitoa zile mpya za magufuli zilizokuja kujengwa nyingine zote zimechoka.
 
Nawasalimu kwa salaam yetu pendwa toka kwa mama yetu. Kwa wenzangu na mimi ambao tumewahi kupita chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kusoma ama kutembea tu kuna maajabu yapo katika jengo la Utawala.

Ukiingia kwenye jengo hilo ndio utaweza kumuelewa yule member wa humu ambaye mara nyingi utumia kauli ya SHULENI UWA MNAAENDA KUJIFUNZA UJINGA!

Hauwezi kuamini hili jengo lina ofisi za wasomi wabobezi na waandamizi na wakiwa wanaaminiwa na nchi hii. Chakuchekesha ukipanda kuanzia ghorofa ya kwanza mpaka ya tatu ni hovyo sana, hazipo katika umaridadi.

Ukianza kupanda ghorofa ya Nne unapigwa na butwaa, chini imewekwa malumalu na milango ya vioo ukweli inapendeza hapo ndio zipo ofisi za wazito wa UDSM.

Cha kujiuliza hawa wasomi wetu wapo tayari kupita sehemu chafu kuanzia ghorofa ya kwanza mpaka ya tatu ila ya nne ni safi.

Na muda wa kushuka atashuka kuanzia ghorofa safi akizipita ghorofa chafu. Ndio hapo unajiuliza hawa wasomi wetu walienda shule kujifunza ujinga ama. Rekebisheni jengo lote hilo.
Una lako ww sio Bure
Ulikosa admission nn?
 
kumbuka hao wazito hawatoi pesa mifukoni mwao kukarabati jengo wao ni waajiriwa tu, ila kitu kimoja kwanini wanafunzi mfano wa civil and building engineering project zao wasingekuwa wanapewa sehemu km hizo zenye marekebisho wakazikarabati ikawa km ndio project yao
 
Nawasalimu kwa salaam yetu pendwa toka kwa mama yetu. Kwa wenzangu na mimi ambao tumewahi kupita chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kusoma ama kutembea tu kuna maajabu yapo katika jengo la Utawala.

Ukiingia kwenye jengo hilo ndio utaweza kumuelewa yule member wa humu ambaye mara nyingi utumia kauli ya SHULENI UWA MNAAENDA KUJIFUNZA UJINGA!

Hauwezi kuamini hili jengo lina ofisi za wasomi wabobezi na waandamizi na wakiwa wanaaminiwa na nchi hii. Chakuchekesha ukipanda kuanzia ghorofa ya kwanza mpaka ya tatu ni hovyo sana, hazipo katika umaridadi.

Ukianza kupanda ghorofa ya Nne unapigwa na butwaa, chini imewekwa malumalu na milango ya vioo ukweli inapendeza hapo ndio zipo ofisi za wazito wa UDSM.

Cha kujiuliza hawa wasomi wetu wapo tayari kupita sehemu chafu kuanzia ghorofa ya kwanza mpaka ya tatu ila ya nne ni safi.

Na muda wa kushuka atashuka kuanzia ghorofa safi akizipita ghorofa chafu. Ndio hapo unajiuliza hawa wasomi wetu walienda shule kujifunza ujinga ama. Rekebisheni jengo lote hilo.
Huko hawaendi kutafuta umaridadi🚶
 
Yote Tisa, la Kumi sasa ni vyoo vya UDSM….kuanzia hostel mpaka madarasani vyoo ni vibovu vichafu na vimezeeka!
Najiuliza sana Estate department ina maana hawavioni au hawaoni hili?
Vijana wetu wanasoma kwenye mazingira Magumu sanaaa
 
Nawasalimu kwa salaam yetu pendwa toka kwa mama yetu. Kwa wenzangu na mimi ambao tumewahi kupita chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kusoma ama kutembea tu kuna maajabu yapo katika jengo la Utawala.

Ukiingia kwenye jengo hilo ndio utaweza kumuelewa yule member wa humu ambaye mara nyingi utumia kauli ya SHULENI UWA MNAAENDA KUJIFUNZA UJINGA!

Hauwezi kuamini hili jengo lina ofisi za wasomi wabobezi na waandamizi na wakiwa wanaaminiwa na nchi hii. Chakuchekesha ukipanda kuanzia ghorofa ya kwanza mpaka ya tatu ni hovyo sana, hazipo katika umaridadi.

Ukianza kupanda ghorofa ya Nne unapigwa na butwaa, chini imewekwa malumalu na milango ya vioo ukweli inapendeza hapo ndio zipo ofisi za wazito wa UDSM.

Cha kujiuliza hawa wasomi wetu wapo tayari kupita sehemu chafu kuanzia ghorofa ya kwanza mpaka ya tatu ila ya nne ni safi.

Na muda wa kushuka atashuka kuanzia ghorofa safi akizipita ghorofa chafu. Ndio hapo unajiuliza hawa wasomi wetu walienda shule kujifunza ujinga ama. Rekebisheni jengo lote hilo.
Wenzako wanatembea na tai na suti ya akiba ndani ya gari!
 
I am sorry but Saut ni chaguo la waliokosa nafasi za kozi wanazozitaka UDSM. Kuchakaa kwa Majengo ni sahihi maana chuo ni cha zamani, mtoa mada angetuambia hali ipoje UDBS, Aquatics na Library mpya, viongozi wangependa wangechagua ofisi zao kwenye hayo majengo mapya, lakini kwa utimamu wao haijawa hivyo. Since chuo kipo chini ya serikali ni muda sasa kikarabatiwe pamoja na zile hostel za main campus ukitoa zile mpya za magufuli zilizokuja kujengwa nyingine zote zimechoka.
Huna Akili period!!!!!
 
Back
Top Bottom