Mbona tunaipanda sana midege sema tu ATC wana muhujumu kwa kupangua pangua ratiba za ndege au kushindwa kwenda na ratiba na hivyo kutudiscourage watumiaji wa ndege zao
Acheni kupoteza Muda. CCM haiwezi toka madarakani kwa upinzani huu uchwara.
CCM Itaendelea kutawala mpaka rebirth ya wapinzani itokeee, of which it sio kitu cha leo wala kesho. Labda milele ........ who knows , perhaps... immortal God