Jengo la taasisi gani hilo?

mi nacheki tu halafu baada najitokeza kumaliza kazi
 
Walisema hapo juu kabisa kutakua na mgahawa" sijui utakua tayari tukasafishe macho
Maana ukiwa hapo juu unaona mpaka China
Tena nasikia kuwa huo mgahawa hapo juu utakuwa unazunguka.
 
Duh, zuri sana kumbe. Kama JK aliweza kutufikisha hapo basi naamini JPM atajenga zuri kuzidi hili.
 
Mkuu Kadagala 1
Umetisha Sana Kwa Comment Matata
 
Swali umeuliza kwa lengo gani
kujua
au kupambia
 
Swali umeuliza kwa lengo gani
kujua
au kupambia
Mie naishi Iringa siko Dar .... picha ya hilo jengo ilirushwa ktk post flani humu humu Jf nikai-save .... bahati mbaya sikuwa na muda wa kutosha kuuliza kwa wakati huo .... but when I got the time I didn't remember the forum.

Nimeuliza ili nifahamu na nadhani ni haki yangu kufahamu by the way this is a free forum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…